666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,710
- 4,044
Shame on you!! Umri wangu wakaribia wa mpendwa mama yako!! Shule za kata sheeeda!!!
sasa mbona umeandika sheeda badala ya shida???
Shame on you!! Umri wangu wakaribia wa mpendwa mama yako!! Shule za kata sheeeda!!!
Fanya hivyo wewe, kwani umeshindwa nini kuanzisha mada ya kuelezea hayo unayoyasema!?!
Usipangie watu mambo ya kujadili, unaonekana ni mpuuzi wa kupindukia!
Jamii zetu na maisha yetu yana mambo mengi ndani yake. Ulitaka watu wajadili kuhusu bajeti muda wote!?!
Nenda kule jukwaa la great thinkers kuna mijadala ya aina hiyo mingi tu, sijui nini kimekuleta humu MMU!!!?
Mtu mzima unakuja jukwaa la MMU unatarajia ukute uzi wa kujadili bajeti!!!
Wewe kichaa wa wapi wewe?
Kweli waafrika ni shidaaa!! wajapan juzi wamezindua train iendayo kasi zaidi duniani km 603/saa,kuna ndege inayotumia nishati ya jua, ipo inazunguka dunia, sisi tuko kwenye tafiti mala migegedo sungura, mala farasi!!! NO HURRY IN AFRICA.
Kweli waafrika ni shidaaa!! wajapan juzi wamezindua train iendayo kasi zaidi duniani km 603/saa,kuna ndege inayotumia nishati ya jua, ipo inazunguka dunia, sisi tuko kwenye tafiti mala migegedo sungura, mala farasi!!! NO HURRY IN AFRICA.
Shame on you!! Umri wangu wakaribia wa mpendwa mama yako!! Shule za kata sheeeda!!!
Kuna aina Tatu na Migegedo(Sexual Union)
(a)Migegedo kutokana na vipimo vya urefu na upana wa Pipe na ukubwa na kina cha Papuchi.
(b)Migegedo ya Matamanio na Genye
(c)Migegedo kutokana na muda wa Tendo.
(a)Migegedo kutokana na vipimo vya Urefu na Upana wa Pipe na Ukubwa na Kina cha Papuchi.
Katika aina hii ya mgegedo Wanaume wamegawanyika katika madaraja Matatu,Mwanaume Sungura-wenye vibamia(Hare Man),Mwanaume Fahali-wenye pipe za kawaida(Bull Man) na Mwanaume Farasi-wenye mihogo ya jangombe(Horse Man).
Wanawake wamegawanyika kutokana na ukubwa na kina(Depth) cha papuchi,nao pia wako katika madaraja matatu ambao ni Mwanamke Paa-wenye papuchi ndogo,nyembamba na fupi(Female Deer),Mwanamke Farasi-wenye papuchi saizi ya kwaida na kina saizi ya kati(Female Mare) na Mwanamke Tembo-wenye papuchi kubwa,pana na kina kirefu(Female Elephant).
Kwa maana hiyo kuna Migegedo aina tatu ambazo ziko sawa kutokana na vipimo vya upana na urefu wa pipe na ukubwa na kina cha papuchi,na pia kuna migegedo aina sita isiyo sawa ikiwa urefu na upana wa pipe hautalingana na ukubwa na kina cha papuchi.
Jedwali hapo chini linafafanua kwa usahihi:-
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 302"]
[TR]
[TD="width: 403, colspan: 2"] MIGEGEDO ILIYO SAWA(EQUAL)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 176"] WANAUME
[/TD]
[TD="width: 227"] WANAWAKE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 176"] Mwanume Sungura
[/TD]
[TD="width: 227"] Mwanamke Paa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 176"] Mwanaume Fahali
[/TD]
[TD="width: 227"] Mwanamke Farasi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 176"] Mwanaume Farasi
[/TD]
[TD="width: 227"] Mwanamke Tembo
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 302"]
[TR]
[TD="width: 403, colspan: 2"] MIGEGEDO ISIYO SAWA(UNEQUAL)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] WANAUME
[/TD]
[TD="width: 214"] WANAWAKE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Mwanaume Sungura
[/TD]
[TD="width: 214"] Mwanamke Farasi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Mwanaume Sungura
[/TD]
[TD="width: 214"] Mwanamke Tembo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"]
[/TD]
[TD="width: 214"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Mwanaume Fahali
[/TD]
[TD="width: 214"] Mwanamke Paa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Mwanaume Fahali
[/TD]
[TD="width: 214"] Mwanamke Tembo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Mwanaume Farasi
[/TD]
[TD="width: 214"] Mwanamke Paa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 189"] Mwanaume Farasi
[/TD]
[TD="width: 214"] Mwanamke Farasi
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ufafanuzi:-
Katika migegedo isiyo sawa,ni wakati mwanaume anamzidi mwanamke kwa upana na urefu wa pipe yake na hii inaitwa migegedo ya hali juu na migegedo hii iko ya aina mbili na migegedo ya kwamba mwanaume amemzidi sana mwanamke kwa upana na urefu wa pipe yake inaitwa migegedo ya hali ya juu zaidi na iko ya aina moja tu.
Kwa upande mwingine,mwanamke akimzidi mwanaume kwa ukubwa na kina cha papuchi hii inaitwa migegedo ya hali ya chini na iko ya aina mbili na kwamba mgegedo wa mwanamke aliyemzidi sana mwanamme kwa ukubwa na kina cha papuchi huu unaitwa mgegedo wa hali ya chini kabisa na uko ya aina moja tuu.
Kwa maana ingine,mwanaume farasi na mwanamke farasi,mwanaume fahali na mwanamke paa wanatengeneza mgegedo ya hali ya juu,wakati mwanaume farasi na mwanamke paa wanatatengeneza mgegedo wa hali ya juu zaidi.Kwa upande wa wanawake,mwanamke tembo na wanaume fahali,mwanamke farasi na mwanaume sungura wanaatengeneza mgegedo wa hali ya chini wakati mwanamke tembo na mwanaume sungura wanatengeneza mgegedo wa hali ya chini kabisa.
Kwa maana hiyo kuna aina tisa za migegedo kutokana na urefu na upana wa pipe na ukubwa na kina cha papuchi.Kati ya hii migegedo iliyo sawa ndio mizuri na mitamu sana,na migegedo ya hali ya juu sana na hali ya chini sana ndio mibaya kabisa,na iliyo baki ni ya kiwango cha kati na kawaida na kati ya hiyo migegedo ya hali juu ni mizuri kuliko ya hali ya chini.Migegedo ya hali ya juu inasemekana kuwa mizuri kwa sababu ni rahisi kwa mwanume kuridhika na kumaliza hamu zake bila kumuumiza mwanamke, wakati migegedo ya hali ya chini ni vigumu sana kwa mwanamke kuridhishwa kwa namna yeyote ile.
Maelezo ya (b) na (c) yatafuata baadae kutokana na michango ya Wadau.
Nawasilisha Hoja.
Shame on you!! Umri wangu wakaribia wa mpendwa mama yako!! Shule za kata sheeeda!!!
wewe umevumbua nini?Kweli waafrika ni shidaaa!! wajapan juzi wamezindua train iendayo kasi zaidi duniani km 603/saa,kuna ndege inayotumia nishati ya jua, ipo inazunguka dunia, sisi tuko kwenye tafiti mala migegedo sungura, mala farasi!!! NO HURRY IN AFRICA.