Namba tano ndio zangu.
Hahahaha!!!!!
Umeonaa eeh hapa ndo panakufaa utoe dukuduku lako na si kule kwenye ndoaa!
ndoa ngumu
Namba tano ndio zangu.
Nkuulize kitu.....
Uliza.
Umeacha wangapi kwa mtindo wa microwave?
Nani kakwambia ndoa ngumu?? Mmi nataka kuingia humohumo ndoa ni Rahaaa mkuu