T TRUVADA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 4,539 Reaction score 1,773 Aug 15, 2016 #81 Loshoro wa kb said: Yaani kesho nasajili laini ya pili ya halotel rasmi na ichoma voda Click to expand... hujachekewa hawa jamaa wametukamua sana watanzsnia na bado tu hawaridhiki
Loshoro wa kb said: Yaani kesho nasajili laini ya pili ya halotel rasmi na ichoma voda Click to expand... hujachekewa hawa jamaa wametukamua sana watanzsnia na bado tu hawaridhiki
shibekijijini JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 358 Reaction score 478 Aug 15, 2016 #82 YANI MTU AKISEMA KWAMBA BADO ANATUMIA VIFURUSHI VYA VODA,NAONA KM VILE MP..........VU
T TRUVADA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 4,539 Reaction score 1,773 Aug 15, 2016 #83 shibekijijini said: YANI MTU AKISEMA KWAMBA BADO ANATUMIA VIFURUSHI VYA VODA,NAONA KM VILE MP..........VU Click to expand... Kweli mkuu mi naona wanajitakia kuuibiwa wakati kuna mtandao unapata 630mb za uhakika kwa 500/= tu mitandao mingine kama voda hila bando unaweza kulinunua kwa 10000/=
shibekijijini said: YANI MTU AKISEMA KWAMBA BADO ANATUMIA VIFURUSHI VYA VODA,NAONA KM VILE MP..........VU Click to expand... Kweli mkuu mi naona wanajitakia kuuibiwa wakati kuna mtandao unapata 630mb za uhakika kwa 500/= tu mitandao mingine kama voda hila bando unaweza kulinunua kwa 10000/=
Loeli JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 997 Reaction score 763 Aug 16, 2016 #84 Kuna siku ilinitokea hivyo. Nikalalamika Huduma kwa Wateja. Wakaahidi watarejesha. Mpaka leo hawakurudisha. Wezi wakubwa Vodacom.
Kuna siku ilinitokea hivyo. Nikalalamika Huduma kwa Wateja. Wakaahidi watarejesha. Mpaka leo hawakurudisha. Wezi wakubwa Vodacom.