Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,208
- 3,609
Mbaya zaidi unaweza kuisubiria hiyo message ya salio mpaka ukome.Inachukua muda mrefukitu kingine kinachonikera ni ukiangalia salio la m-pesa kwenye simu yako unatozwa pesa ya kuangalia salio!
Tcra wako buzy na kutunga sheria kukabiliana na Tundu.Nikweli kuna wizi mkubwa. Unanunua bando la MB 500 lakini data meter ya tablet yako ikisoma unetumia MB 420 tuu wao wanakuonyesha kuwa unemaliza MB 500.
Sasa wizi huu mpaka lini? Na kama ni kwa nchi nzima wanatuibia kiasi gani kwa siku,mwezi hadi mwaka?
TCRA waliangalie hili, huu ni ukibaka kana mwingine wowote
Hawa Vodacom hata sina hamu nao!!! Wanatisha kwa mbinu zao za wizi
Kweli mkuu, Halotell wapo vizuriVodacom sasa hivi ni wezi sana. Sasa hivi Halotel ndio maisha yangu katika huduma ya data. Punde nita achana nao hata kwenye Voice call. Maana nako ni wizi mtupu.