Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,755
Beseni la maji linakusaidije mazingira hayoo kivip yanTahadhali lala chumbani na ndoo beseni lililo na maji wazi chumbani hiyo dawa ya kupulizia haitafanya kazi hiyo mbinu mie imenisaidia sana wameshakuja kwangu mara nne nastukawanaishia kutukana tu
Wakipuliza ile dawa yakulewesha inaenda mijamoja kwa maji nguvu ya dawa inaisha na haikuathirBeseni la maji linakusaidije mazingira hayoo kivip yan
Sasa mkuu hapo unakua unalala chumbani au stoo na mabeseniTahadhali lala chumbani na ndoo beseni lililo na maji wazi chumbani hiyo dawa ya kupulizia haitafanya kazi hiyo mbinu mie imenisaidia sana wameshakuja kwangu mara nne nastukawanaishia kutukana tu
Hayajakujuta kiongozi, siku wakikusafisha kila kitu utaukumbuka huu ushauriSasa mkuu hapo unakua unalala chumbani au stoo na mabeseni
Wezi wanakujaga mpk kwny kambi ya jeshi?Hayajakujuta kiongozi, siku wakikusafisha kila kitu utaukumbuka huu ushauri
Wezi wanakujaga mpk kwny kambi ya jeshi?
Ndio mkuu.Utaishi milele kambini?
Basi HongeraNdio mkuu.
Asante sana.Basi Hongera
Sumu nyingi hua zinakimbilia kwenye maji(hydrophilic) hivyo zinapungua nguvu kabisaa na haziwez kumuathir binadam ..hvyo hawawez kubomoa utasikia na kuamka kupambana naoBeseni la maji linakusaidije mazingira hayoo kivip yan
Ni kweli kaka sumu inakua dissolved kwenye maji..na inakua haina madharaMaji yana uhusiano gani na dawa ya kupulizia hizi ni Imani tuuu sema tu walikuja mida ambayo haujalala basi.
Kwa maana dawa ipo mfumo wa hewa inasambaaa na maji ndo useme yanafyoza dawa? Ilio puliziwa nn mmmh
Yaweza kuwa ila siwez kubisha kwa sbb sijajaribu kufanya majaribio yake,Ni kweli kaka sumu inakua dissolved kwenye maji..na inakua haina madhara