KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,075
ZIFAHAMU AINA ZA NUKSI NA MATIBABU YAKE
Mtu akisema kama ana Nuksi maana yake ni kwamba mtu huyu kila jambo lake alitakalo haliwi au kila anachotaka kukifanya hakienda kama vile anavyotarajia au kupanga.
Hata kama watu watakaa wakapanga mpango au biashara wa kwenda kupata pesa, Halafu kwenye ule msafara akijumuika mtu mwenye nuksi na yeye akaenda, basi hiyo pesa huko haiwezi kamwe kupatikana.
Nuksi husababishwa na mambo mengi sana ambayo kimsingi huenda mengine tunapitia pasipo kujua kwamba vitu hivyo vinatusababishia Nuksi katika maisha yetu. Hivyo nimekuorodheshea vyanzo vya nuksi hapo chini.
🍇KULOGWA : Kuna nuksi ambayo inasababishwa na kulogwa. Mtu anaweza kulowa ili asifanikiwe katika maisha yake yote hapa Duniani. Analogwa nuksi tu kiasi ambacho yeye hana atakalolifanya akafanikiwa au zuri atakalosema watu wakamuelewa.
🍇 KURUKA VITU : Pia vilevile kuna nuksi ambazo unaweza kuzipata kwa kuruka vitu ambavyo vimetegeshwa kwa lengo baya kwa njia ya ushirikina au uchawi kwa ajili ya kumdhuru mtu, hapa unatakiwa utambue kwamba Uchawi upo.
Yawezekana kuna mtu ametegewa sehemu ili uchawi ule uweze kumpata muhusika ambaye sio wewe, alafu unakuta kwa bahati mbaya wewe huna hili wala lile ukiwa katika mizunguko yako ukaruka au kuukanyaga ukawa ni wenye kukupata.
🍇ZINAA : Mtu anaweza akapata nuksi katika kitendo cha kufanya ngono(Zinaa). Unakuta mtu unayeshirikiana nae ana nuksi zake basi inakuwa rahisi kukuhamishia katika mwili wako.
Pale utakapoona una nuksi kwa kuona dalili tulizotaja jua kwamba ipo namna yake ya kuweza kujinasua au kujisaidia katika tatizo la namna hiyo.