Mimi naonaga siwaelewi hawajiamini na hiyo fani imewaoversize😀😀😀
Hawana madini na weledi.Labda hizo Koti na kile kifaa cha kusikiliza masikioni ndio huwa vinawapendeza. Ila wakianza kukuelezea shida uliyonayo lazima wakuache hewani🤗
Kama kuna waliocompetent mimi sijakutana nao.But kwa niliokutana nao wamenijengea picha huwa niko radhi kubadilisha hospitali ili nipate huduma bora.