Aina hii ya nyoka wapo Tanzania?

topr

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
700
Reaction score
654
Iv kwa apa tz aina hiii ya nyoka wapo?
 
Kwa mfano mkoa gani kaka
 
Nadhani mmoja ni cobra ambaye akimdunga mtu anakufa ndani ya masaa machache. Mwingine ni aina ya kifutu (puff adder) ambaye naye sumy yake ni mbaya sana. Huyo akikuuma nyama mwilini zinaoza mpaka unakufa
 
Nadhani unachanganya na black mamba (koboko), Cobra sumu yake si kali sana na wengi wamepona ila huyo black mamba kupona ni vigumu ila inawezekana .
 
Nyoka yeyote mwenye kichwa mfano wa jeneza na kiwe kama hakina mabondebonde ana sumu hatari sana
 
Hao lazima tutakuwa nao,Tumebarikiwa Tanzanite sembuse hao nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…