Mkuu Tembelea baadhi ya tovuti zinazohusu computer then angalia sifa za computer unayojitaji naamini utafanya maamuzi sahihi(ila zingatia mfuko wako umetuna kiasi gani mkuu)
Habar zenu wanaJF, samahani sana ndugu zangu,naomba kujuzwa kuhusu hizi PC ni aina gan nzuri. Nataka kununua ila sitaki kubambikwa kitu kibaya. Samahani kwa usumbufu
inategemeana na uwezo wako tuh mkuu.....siku hizi makampuni yote yamejitahidi kutoa products zenye viwango vya juu. Brands mpya zote zipo safi sana, upande Wangu ningekushauri Apple i5 au i6 hutajutia licha bei zake mlima ila hazina matatizo ya mara kwa mara kama products za Microsoft kila kukicha virusi mara spywares