Habar zenu wanaJF, samahani sana ndugu zangu,naomba kujuzwa kuhusu hizi PC ni aina gan nzuri. Nataka kununua ila sitaki kubambikwa kitu kibaya. Samahani kwa usumbufu
maishani sijawahi kuona tarakilishi nzuri kama za HP, ziko poa na zinavumilia sana. nakumbuka hii ya Kwangu nilishawahi kuiacha on kwa siku tano na bado mashine inguruma. na kila siku nikiiwasha asubuhi saa mbili huwa naizimaga saa kumi alfajiri na hii ni kila siku. sasa Sijui kwa wenzangu wanaotumia dell, Toshiba na zile zingine labda waje nao watoe ushuhuda wao. ila Mimi binafsi nakushauri tafuta HP