Aina 16 za watu duniani

I love logic.
Ukiwa logician utapeta tu maisha yako yote, japokuwa wengi wako wanachukiwa.
 
Duuuuu

Mimi ni meditator bila kupepesa macho
 
Mkuu napata changamoto kidogo kujicategorize kwa sababu najikuta nina tabia za zaidi ya makundi sita. Mimi hapa ntakua kundi gani? Je,mtu anaweza kuwa wa aina zaidi ya moja?
 
Mkuu napata changamoto kidogo kujicategorize kwa sababu najikuta nina tabia za zaidi ya makundi sita. Mimi hapa ntakua kundi gani? Je,mtu anaweza kuwa wa aina zaidi ya moja?
Hapana haiwezekani japo kuna aina fulani zinaingiliana sana
Kitu cha kwanza muhimu kujua wewe ni extrovet au ni introvet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…