Aina 11 ya JF members, wewe uko wapi?

stritglow

JF-Expert Member
Apr 7, 2018
622
1,751
1. Multiple IDs
Hawa ni wazee wa id zaidi ya moja, kutokana na sababu moja au nyingine. Lakini most ni just for fun. Sema utawagundua kwa miandiko yao, so ni very easy to spot second id ya mtu.

2.Multiple personalities.
Hawa wanaundugu na watu wa multiple ids ila wame-advance kidogo, tofauti ni kuwa kila moja ina personality/characteristic/mannerism na mwandiko wake. Its almost impossible kugundua. They have turned it into an art lol.

3. The overactive member.
Kila thread utakayopitia, lazima utakuta comment yake. Doesn't matter what the thread is about.

4.The lurker
Hapa ni ambapo majority of Jf users wako. Ndo maana all threads zinakuwa na viewer count kubwa compared to wachangiaji. Hawa wanachangia/like kwa nadra sana. Mwendo wao ni wakusoma kimya kimya tu.

5. The story makers.
A.K.A wazee wakupiga soga. Haijalishi mada inahusu nini ila wao all they do nikupiga story kwenye threads, na kutoka hata nje ya mada.

6. The funny guy/girls
A.K.A stress relievers wa jf. They never take things serious. Ukipitia post zao lazima u-smile tu.

7. always in their own world
Hawa wako in their own world/bubble. They comment/like/post how they feel like it. Doesn't matter kama watu wata-relate to them or not.Hawanaga shobo/time na mtu, rarely utawakuta waki-interact na watu humu. They just do their own thing.

8. Genderless
Hawa gender yao haieleweki kama ni me au ke.

9. The wise guy/girl
Hawa post zao zimejaa "busara" tu ,rarely utawakuta wakicomment "pumba/jokes".

10.The encyclopedia
Hawa ukisoma comment zao unajua kabisa wanajua vitu vingi sana. Either through reading alot, exposure au hata first hand experience.

11.The likers
Hawa wakipitia thread wanalike comment zote au most posts, hawabagui, iwe mtu kaandika pumba/jokes/au busara. They will give it a like.

Wengine ongezeeni...
 
11. Inaenda kwa Ambiele Kiviele
Jamaa ana kipaji cha hali ya juu.
Hongera zake aisee.
 
13. Walinda wake/waume zao.
Hili ni kundi la Me/Ke ambao muda wote wanafatana jukwaani na kugandana kama ruba.
Ukimuona mama kaanza kucomment basi jua baba yuko nyuma yake AU ukimuona baba kaanza kucomment basi jua mama yuko nyuma yake.

14. Wakeshaji wa Pm.
Hili pia ni aina ya kundi hasahasa wanaume ambao jukwaani huwaoni waki-comment, kuanzisha nyuzi, kulike au ku tag ila ukienda katika wall yao utawakuta wako active na wako online.
Kumbe wanakesha pm na u-active na u-online wao uko Pm tu.
Anatembea Pm karibu siku yake nzima kama afisa kilimo akiwa shambani

15. Wambea/wasengenyaji Pm
Hili kundi sanasana tuko sisi jinsia ya kike.
Yaani utakuta kuna umbea unatembea chini kwa chini huko Pm mpaka unajiuliza huko Pm kuna forum ingine!
Sema mambo yakitindinganya, tutajua Jf nzma.
 
Hii list yako hatari
 
Back
Top Bottom