AIDS Day:Message HOT

Hivi huwa najiuliza, kuna familia haijakumbwa na dhoruba ya hii kitu?
 
Kuna wakati kipindi cha nyuma ililetwa habari JF kuwa Mengi alikomba mamillioni ya misaada ya AIDS.

Tujikumbushe.

Kha! Supu imeingia mende tena. Faiza mkuu Elli ameku mention ili uje hapa kutoa uzoefu wako huko nyuma ili iwe msaada kwa kwa kizazi cha sasa kuhusu gonjwa hili wewe unatibua tena!
Mtoa mada anafahamu kuwa wewe ni mzee ila tetesi zilizopo hapa JF ni kuwa ni mrembo pia, hivyo mwaga mauzoefu yako kwa vijana kuwa umewezaji kuukwepa huo ugonjwa pamoja na urembo wako? Hilo litakuwa somo mahsusi kwa siku ya leo, hayo ya Mengi yaweke pembeni kwanza wewe toa darsa hapa.
 
Last edited by a moderator:
mie kama najua status yako ni + hata uwe mzuri kiasi gani siwezi kufanya nawe..kama sina uhakika mpira lazima hata uwe mzuri kiasi gani
 
Sasa babu mbona hukuniambia twende sote nami nikajicheki afya yangu

nakupiga faini muda si mrefu lasivyo nipe nami gawio langu la tegeta -e pls?
unisamehe bila faini, ndio natoka angaza sasa hivi hadi raha yaani acha kabisa
 
Tanzania na dunia yote bila Ukimwi inawezekana,jamani tutulie tuwe na hofu ya Mungu mioyoni mwetu.

Dah!! Leo nimesikitika sana niliposikia kwenye BBC Swahili kwamba huko umasaini vijana wanashare condom moja wanaifua na kuianika kisha hupaka mafuta ya kondoo,na condom moja hiyo hutumika maranyingi kwa watu tofauti tofauti.
 
Sasa babu mbona hukuniambia twende sote nami nikajicheki afya yangu

nakupiga faini muda si mrefu lasivyo nipe nami gawio langu la tegeta -e pls?


Nitumie account yako ya Mkombozi Bank Stanbic faster
 
MIMI MSIMAMO WANGU NI WA TOFAUTI
UKIMWI UMETENGENEZWA MAKUSUDI ILI KUPUNGUZA WORLD POPULATION BY 75%.
(NA BADO VIRUSI HIVI VINASAMBAZWA KWA NJIA MBALIMBALI).....HATA EBOLA.
REF:
Dr.Patrick Dixon-The truth about AIDS.Page.34
(UKITAKA KUMFICHA MSWAHILI KITU--KITIE KITABUNI)
 
Mpwa msimamo wako bado haubadilishi ukweli kuwa tunakwisha.....na kweli tunateketea sana
 

Jamani, take care...tuache kupiga kavu na tupunguze idadi ya michepuko...bado jamii ya watanzania inatuhitaji.
 

Du, mkuu ijapokuwa msimamo wako una ukweli ndani yake, hebu upunguze kidogo.
 
UUUWIIII Huu ugonjwa upo jamani....unazunguka mbaya...Niwajuao hata hawajulishi kwa kuwatizama na bado wanatongoza na kutongozwa...duuuhhh cheni hii sijuii...Namuomba Mungu atuepushe..

Kumbukeni Condom wanaume...wanaume wengi ni wadhaifu sanaa...Na akiona figure tuu mate yanamtoka...Kumbuka kupima kwanzaaa ujue unapoingia...figure si hoja...



Ukimwi hauna tiba kwa wasomi wa dunia hii !

Wamwaminio halisi YEHOVA; wanapona kwa MAOMBEZI,katika jina la Yesu Kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…