Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Aliahidi hasa kusimamia utawala wa sheria hapa nchini na imejidhihiri kuwa amefanya makubwa katika nyanja hiyo.Tupe taarifa alipoomba kura achaguliwe aliahidi nini na muda wake umeisha ametekeleza nini?
Mambo ya kulialia sidhani kama ni issue kubwa sana kwa great thinkers kujadili.
ACHA KULIA WEKA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA AHADI ZAKO MAMII.
Queen Esther
Msihangaike sana wakuu,hilo ni jina tu.Wakili msomi?😳 Sasa wakili asiye msomi ni yupi mkuu? Angekuwaje wakili bila kusoma?
Aliahidi hasa kusimamia utawala wa sheria hapa nchini na imejidhihiri kuwa amefanya makubwa katika nyanja hiyo.
Mkuu, kula kwa wingi samaki akili yako ielewe kwa harakaKama yapi kwa mfano?
Aliahidi hasa kusimamia utawala wa sheria hapa nchini na imejidhihiri kuwa amefanya makubwa katika nyanja hiyo.
Tupe taarifa alipoomba kura achaguliwe aliahidi nini na muda wake umeisha ametekeleza nini?
Mambo ya kulialia sidhani kama ni issue kubwa sana kwa great thinkers kujadili.
ACHA KULIA WEKA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA AHADI ZAKO MAMII.
Queen Esther
Kesi nyingi zimemalizwa kwenye Mahakama zetu kutokana na mpango-kazi uliowekwa kati ya Mahakama na TLS.
Ingekuwa watu wa kolomije wasingekuwa wanaachia madaraka kwa amani tena wangetaka kuongezewa mudaDuh hawa ndio wanajua sasa maana ya democracy mwaka mmoja wanaachia. Big up kwao