Hakuna aliyekamilika.
Mwanamke asiyetoa mimba atakuwa mbeya.Mwanaume asipokuwa mlevi atakuwa mchepukaji.au asipokuwa mchepukaji atakuwa Ana kibamia.na kadhalika.
Tukisema tuandike tabia za mwanaume au mwanamke aliyekamilika,nadhani wengi tutasema huyo mtu hayupo.Na wengi wasingependa kuwa na mahusiano nao kwasababu watajiona wana kasoro.
Uwezo wa binadamu kushinda vishawishi vingi anavovipata(sio vyote) ndio unaofanya binadamu mwenzake kumwona kama ni mwanaume au mwanamke kweli.
Tukosoane ila tujue katika hii vita ya mapungufu yetu hakuna aliye salama.
tusikate tamaa

lasivyo mapungufu yetu yatatufanya watumwa.