Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,759
- 15,567
Kama mnavyojua Sekta ya Mapenzi ndio sekta tukufu kupita zote..
experience matter more..
Kuna Class mate wangu wa sekondari tulikutana chuo japo yeye alienda Advance mimi sikwenda, Alinikuta College nikawa kama Senior (mwenyeji) wake..kimtindo
Tukiwa chuo uhuru wa manyani, nikachati nae sana kwa kumuheshimu na kuona ni binti pressures na smart kwangu,
Sekondari alikua ananikimbiza masomo yote isipokuwa Mathematics, kweli haka kadada kalikua smart mfupi kidogo kazuri kabisa, unaweza kula hata ugali mzima bila mboga kakiwa mbele yako.
Siku moja binti akanipiga neno la usoni, mbona tukiwa wote hizi message unazo andika huwa uniambii, haya maneno unaniambia ukiwa mbali nami .... duuu nikajisemea moyoni kesho tukionana namaliza mchezo.
Kwenye upenzi sasa kiukweli huyu binti tuliishia romance na nilicho hisi kingine huenda alikua bikra (21 age)
basi bhana siku moja nikawa nimeshuka nae chimbo usiku, tukapitia chakula tukaenda maeneo
Tukiwa room wawili, after chakula ikabidi manzi aniambie nizime taa before romance ishike hatamu,
Kulikua na Laptop, na mwanga wa Laptop akasema hautaki, nikazima
nikaendelea na kiss kumkoleza,
Laptop ilikua charge sasa ukabaki mwanga ule wa kuonesha inapeleka, na huo ukamkela akafunika na kitambaa.
Binafsi niliihisi ni aibu tu, japo manzi alikua akinisifia sana nilivyokua nikimsaidia kupunguza hatari ya saratani kwa chuchu zake saa sita.
nikijaribu kupitisha mkono kwenye skin tyti hataki, nimemtoa nguo ya juu na mimi nipo kwenye boxer mwisho akadai kurudi chuoni,..
Kwenda likizo nikawa sichat nae mwisho tukabwagana kimya kimya, nilipata chimbo na mm jipya miss mwingine wa kisukuma akawa ananipa mubashara.
But nafikiria kumtafuta huyu Manzi, japo nimjulie hali tu aniambie tasinia ya mapenzi inakwendaje kwake.
Naweza kusema maisha yanakupa experience nyingi tofauti na pengine kupelekea hata wewe kubadilika tabia tu,
Kuna kipindi mimi nilikua Me, ninae jipenda sana mwili wangu na kujisikia niwa hadhi fulani ya juu...
Lakini kwasasa, nimeisha buluzana na kila aina ya Mwanamke,
Yani awe na shepu asiwe nayo, awe mfupi, mrefu, mweusi, mweupe mie naishi nae tu all of this does not matter to me 😁
Na huwa nikiona mtu anaweka distance kwenye mwili wake namshangaa tu, Umekuja Swimming na kichupi chako huna Mume na hutaki ushikwe na yeyote kweli !?
manzi ukinimiss tukionana ni muhimu kukumbatiana bhana,
mtu hata hug tu hapendi distance ✋🏾🥺😅
Tumalizie na tafakuri,
Kwa kitendo hiki alichokifanya Yesu hata mm nachagua kuwa Lover Boy
Namuheshimu sana Mwanamke kahaba anayeweza kuhifanya kazi yake kwa ufanisi.
Rahabu kahaba alikua bibi yake na Yesu.
Tamari aliyelala na baba mkwe wake alikua bibi yake na Yesu.
Luka 7:44-46
44 Akamgeukia yule mwanamke, akamwambia Simoni, Wamwona mwanamke huyu? Niliingia nyumbani kwako, hukunipa maji kwa miguu yangu; bali huyu amenidondoshea machozi miguu yangu, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake.
45 Wewe hukunibusu; lakini huyu tangu nilipoingia hakuacha kunibusu sana miguu yangu.
46 Hukunipaka kichwa changu mafuta; bali huyu amenipaka miguu yangu marhamu.