Aibu: Wito kwa TCRA kuhusu Google

Hapana bwana hata mimi nimejaribu ndo hayo hayo ya mtoa mada. Nomaa.
 
Tatizo cyo google bari ni uchafu wa vitu tunavyo post asa kwenye blogspot za vichwa ndimu wanakaa na ku post ujinga blogspot na blogger wana husika
 
Tatizo cyo google bari ni uchafu wa vitu tunavyo post asa kwenye blogspot za vichwa ndimu wanakaa na ku post ujinga blogspot na blogger wana husika

Umeandika kitu gani hapa!
 
Correct. Ukishaongeza hayo maneno mbele unakuwa umeshazifungia zile suggestions. Kwa hiyo kizaazaa kipo pale unapoanza tu kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…