dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
Hii ni aibu ya hali ya Juu, Kama ningekuwa Mkuu wa Mkoa Wa Dar ningejiuzulu hapo hapo.
Eti pale Temeke Jirani kabisa na Ikulu wanafunzi wanakaa chini ya mti kama darasa. Watanzania hatupo ASerious.
Temeke ndio kuna bandari kuu ya Dar es Salaam, Temeke ndo kuna Uwanja wa Ndege wa Kimataifa, Temeke ndo kuna uwekezaji mkubwa wa EPZ, Meli zote kubwa zinatia nanga Temeke.
Lakini leo Miaka zaidi ya 50 ya Uhuru watoto wanasomea chini ya Mti wakati Bibi Sophia E. Mjema yupo, Paul Makonda yupo Rais Magufuli yupo, Waziri Mkuu Majaliwa yupo. Kila siku ni hapa Kazi tu, Hiyo kazi Mnaifanyia wapi wakati bado Uvunguni kwa Kitandani Mnapolala kuchafu?
Viongozi kuweni na dhamira ya kweli ya kutukomboa, bado naamini kuongea kwa vitisho na ukali, sio suruhisho la kututo hapa tulipo kama taifa.
Majipu naona kama ni wapinzani wenu wa kisiasa ndo mnaowalenga ili kujipatia sifa. Mtu ambaye watoto wakaa chini hapa Dar ndo jipu kubwa, kwanini hatumbuliwi?
Wanafunzi darasa la 6 (kushoto) na darasa la 7(kulia) wakisoma chini ya mti shule ya msingi Majimatitu Dar Es Salaam