Aibu: Viongozi wote wa CCM, wastaafu na sasa wanaogopa kusema hadharani kwamba Lowassa alihamia Chadema na kugombea Urais 2015

MKUU waseme au wasiseme doesn't really matter.
The reality stays!
Suala ni kwamba viongozi wanaojaribu kupindisha jambo la wazi kabisa linalojulikana bila ubishi kama hili, huko kwenye mikataba ya usiri wanayoificha tusiyoiona wala kuijua wanatupiga vipi?
 
Inapofikia stage ya kuogopa kutaja jina la Chadema kwenye msiba wa Lowassa, wakati mwingine naona ni uoga tu usiokuwa na maana kwa wahusika, hasa familia ya marehemu.

Sitaki kuamini kwamba familia ya marehemu "ingeadhibiwa" simply kwa kulitaja jina la Chadema msibani.

Lakini baadae naona kama inawezekana yote yaliyotokea yalikuwa planned, na haikuwa huruma tu ya familia ya Lowassa kwa serikali bila sababu.

Nasema hivyo kwa sababu, hata nikitazama matukio yaliyotangulia msiba.

Mfano: mwakilishi wa Chadema kutopewa nafasi ya kuhutubia msibani, na jina la Chadema kutotajwa msibani kama marehemu aliwahi kupita kule.

Hayo yanaonesha familia ya Lowassa inawezekana kabisa ilipewa maelekezo wafanye hivyo, hata kama wenyewe hawakupenda.

Naamini Chadema ilimuinua Lowassa na familia yake, ikawarejeshea tabasamu na tumaini walilopoteza wakati wakiwa, na kuondoka CCM, sijui mioyo ya hii familia ina hali gani wakikumbuka hayo.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
.
 
Nimeona hata TBC wanasema aliwahi kugombea urais. Wanakwepa kutaja chama. Tuna safari ndefu kwenye unafiki na ujinga

Halafu ndio mnategemea hawa waandike historia ya haki ya nchi yetu ya kuwafundisha watoto wetu ???

Nilipoonaga kina Mohammed Said wanalalamika kuwa kuna watu walichangia Uhuru Majina Yao hayatajwi nilikua sielewi nilianza kuona baada ya kuona hili la sasa …..
 
Daaah !
 
View attachment 2903923View attachment 2903924

Nimefuatilia Hotuba za viongozi karibu wote wa CCM na serikali wa sasa na wastaafu, sijasikia hata mmoja anayesema kwamba Lowassa aliwahi kuhamia Chadema na kugombea Urais kupitia Chama hicho 2015.

Bado sijajua kama wanaogopa kusema au wanaona aibu, hata Warioba anayesifiwa kwa hotuba yake kwenye msiba huo, hakusema baada ya Lowassa kukatwa na ccm 2015 alienda wapi, wala hakusema kilichotokea, aliishia tu kusema Lowassa alikatwa 1995.

Bali kinachofichwa ni kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA august 2015 na kugombea Urais na kushinda kwa kishindo , kabla ya kunyang'anywa Ushindi wake kwa msaada wa "ofisi" ya Masaki iliyoongozwa na watu watatu ambao tutawataja hadharani baada ya mazishi (Liwalo na liwe)

Baada ya dhuluma hiyo " watu wa system " waliofichua uchafu wote uliotendwa hadi Lowassa kuporwa ushindi wakakamatwa na kutupwa gereza la KEKO , bila kufikishwa Mahakamani, japo waliachiwa baada ya miaka mingi , huku wachache wakifa kwa presha na visukari, CCM inafanya siasa za kishamba sana !(HAKUNA ASIYELIJUA HILI)
Kwa hiyo CDM mliomtukana Lowasa kuwa, ni Fisadi pale mwembe Yanga Temeke leo mnatamba kuwa Fisadi Yule Yule alikuwa mgombea urais wenu . Hiki chama chenu ni chama cha kitapeli kabisa. Militudanganya kuwa Lowasa ni Fisadi kumbe MLI kuwa waongo . Au mlimtuka ili mshinde Urais wakati ni Fisadi? CDM ni chama cha wasaka tumbo.
 
Hiyo siyo hoja bali ni malalamiko , nenda Jukwaa la malalamiko
 
Hi

Hizo picha watasema photoshop, vipi kuhusu gazeti la serikali ukurasa wa 57! https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1513775610-21-MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2015.pdf
 
Kwa hiyo CDM mliomtukana Lowasa kuwa, ni Fisadi pale mwembe Yanga Temeke leo mnatamba kuwa Fisadi Yule Yule alikuwa mgombea urais wenu . Hiki chama chenu ni chama cha kitapeli kabisa. Militudanganya kuwa Lowasa ni Fisadi kumbe MLI kuwa waongo . Au mlimtuka ili mshinde Urais wakati ni Fisadi? CDM ni chama cha wasaka tumbo.
Kwa hiyo Waliosema anajinyea pale Geita na hafai kuwa Amiri Jeshi , Ikulu hakuna Wodi za Wagonjwa Leo ni Machapakazi na Shujaa.
 
Lowasa amekulia CCM toka kijana mdogo. Kwa hiyo alirud CCM ili akae vizur nyumbani. Matusi ya CCM kwa lowasa yanafutika. Matusi ya CDM hayafutiki kabisa.
 
Hayo ndio madhara ya kumiliki Mali ya wizi, na kutegemea mbeleko ya serekali kuishi maisha ya kifahari. Wanajua nje ya maisha ya kubebwa familia Yao itaishi maisha ya dhiki. Hii tabia naiona kwenye familia karibia zote za wanaccm waliopata nafasi za juu serekalini. Rejea wanaccm walioenda kuomba msamaha kwa Magufuli kwa kumsengenya kwenye maongezi ya simu.
Rejea Msiba WA Kingunge na Membe
 
Back
Top Bottom