AIBU ni lugha mbadala ya neno Hayaa (asili neno la kiarabu "Aib" ) ni mfumo wa ukingo au uzio mfano wa pazia ulofunika uso/mwili. Hivyo ukiondoa uzio huo basi unaji kashifu utupu wako !! au unatambulika undani mwako !! kutokuwa na maadili ya kijamii.