Umuhirindahu
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 349
- 170
Leo nimepita Morogoro,nipo njiani kuelekea Mwanza,sikuamini nilichokiona....choo cha stand(public toilet) kipo kimoja na ni kidogo,watu wamepanga foleni inahitaji usubiri karibu dakika 10 upate nafasi ya kuhisaidia...zaidi ya yote ni kichafu balaa..kuna mama yupo pale bize akikusanya mia mbili kwa kichwa...anyway maswali nnayo jiuliza(naomba mnisaidie) hivi haiwezekan akapatikana mwekezaji wa kutatua tatizo hili...?.utaratibu wa kupata tenda kama hii ukoje?Wahusika hii hali wanaiona?