AIBU: Ofisi ya Serikali ya kukusanya Mapato kwa Watalii wanaopanda mlima Oldonyo Lengai

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
Huwezi amini lakini ni kweli.

Hii ni Ofisi ya Serikali ya kukusanya Mapato toka kwa watalii wote wanaokuja na kuutembelea na wengine kuupanda mlima Oldonyo Lengai.

Malipo yote ya ofisi hii hufanyika kwa Dollar ya Kimarekani.

CeaqQ-AWQAMvc9v.jpg


Mlima huu upo ndani ya eneo linalosimamiwa na Mamlaka ya Ngorongoro conservation Area Authority (NCAA).

Kumbuka ya kwamba eneo liliopo chini ya NCAA lina upekee wa namna yake ambapo Wanyama wa porini na Binadamu wanaishi pamoja.

Mountain Climbing Costs for Oldoinyo Lengai

Mountain climbing permits include access to Oldoinyo Lengai, and the hire of a local Maasai guide:

1. Tourist: USD 100

2. Tourists: USD 140 for the group

3. Tourists: USD 180 for the group

Where numbers of tourists exceed 3 persons, the following formula shall apply:

“USD 60 group access fee plus USD 40 per tourist”

Thus, for 8 climbers, fees would be as follows:

USD 60 + (USD 40 x 8 persons) = USD 380

Serikali imeshindwa kujenga hata kachumba kamoja na sebule ??
 
Mountain climbing permits include access to Oldoinyo Lengai, and the hire of a local Maasai guide:

1. Tourist: USD 100

2. Tourists: USD 140 for the group

3. Tourists: USD 180 for the group

Where numbers of tourists exceed 3 persons, the following formula shall apply:

“USD 60 group access fee plus USD 40 per tourist”

Hizi rates ni pamoja na usafiri wa helcopter?
 
Kweli ivyo vipanda vipo kama unapita ndani ya mbuga kuelekea loliondo
 
Uwezi kujua labda hawaruhusu nyumba za kudumu. Embu tuwekee moja ya nyumba au ofisi nyingine maeneo hayo...
 
Back
Top Bottom