Aibu nyingine kwa CHADEMA

Aibu nyingine kwa CHADEMA

Status
Not open for further replies.

Mtela Mwampamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
537
Reaction score
347
Tunapofanya kumbukumbu ya miaka 15 ya kifo cha baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere tunakumbuka juhudi zake za kuhamasisha na kuhimiza uadilifu. Uadilifu ambao ni kinga ya maovu yote, uadilifu ambao ni nguzo imara na msingi wa miiko ya viongozi. Hatuwezi kuwa na uongozi bora bila kuwa na viongozi waadilifu.

Chadema ni chama kinachojibebesha taswira ya uadilifu, chama kinachoomba ridhaa kwa watanzania ili kiweze kuaminiwa kukabidhiwa serikali lakini tangu juhudi hizo zisizo na mafanikio kuanza mihongo kadhaa iliyopita bado chadema hakijaweza kufikia lengo lake na kushimdwa huko kunatokana na aina ya viongozi ambao chama hicho wanao.

Mwenyekiti wa chama ambae anapaswa kuwa dira na ndiye anayetakiwa kuset standard ya namna bora ya kufanikisha mipango ya chama anapokosa uadilifu chama hakiwezi kufanikiwa..

sina haja ya kueleza mengi, picha imebeba ujumbe kamili..hakika chadema ni janga la kitaifa.
 

Attachments

  • IMG-20141014-WA0025.jpg
    IMG-20141014-WA0025.jpg
    35.7 KB · Views: 3,593
yani wewe na umri wako na utuuzima wako umetumia muda wako ku edit picha....this is photoshop kamdanganye ba ba yako
 
hayo ni maisha binafsi ya mtu, mi nashangaa kwenye thread unaizungumzia chadema halafu picha unaweka ya Mbowe
 
Mtela nadhan utakuwa na mtindio wa UBONGO....hyo ni matokeo ya kutumika,sasa kweli umeamua kuweka akili zako kando kweli ....hata mwendawazimu asingefanya hivyo mbele za watu
 
Duu, ccm walivyokuchukuwa ndio walitegemea wamepata kichwa kwa ubunifu wa hoja za aina hii!? Haya uliyoyaeleza hapa unaamini ndio jawabu la matatizo na udhaifu wao kabla hujahamia? Kwa mwendo wa mawazo ya aina hii tutegemee ccm kuwa chama bora kutokana na mawazo yako? Na je ccm inaweza kujigamba ina vijana wasomi kwa ubunifu huu? Unatarajia watz waendelee kuiacha madarakani ccm kwa kuwa ina vijana wabunifu kama ww!?
 
Hahahaaa! huyu ndiye Mbowe! Mtetezi wa wanyonge!
 
Hizi ni dalili za mtu mzima kuchanganyikiwa, mtela du umefikia hatua hii, kweli ccm wamekufanya vibaya, majuzi nilikuonea huruma ulipokuwa unaikimbia mvua pale mwenge, umechoka kama si wewe niliyokuwa nikikufahamu, ila tahadhari usije ukaweka picha zako za utupu huku kwa sababu naona unazidi kuchanganyikiwa, kama malipo ya kazr unayofanya hayakutoshelezi nakushauri urudi ukalime.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom