Aibu kwa wahitimu wa vyuo vikuu

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,489
Reaction score
1,466
Hakuna kitu kinachouma, kama kumuona mzazi ambae hajasoma, akijipigapiga na kujimaliza, mpaka anauza chochote alicho nacho, kusomesha watoto mpaka watano au zaidi, hadi chuo kikuu. Na baada ya kuhitimu, hawana ujuzi wowote wa kufanya chochote hata kijijini kwao, bali wanashinda mjini wakisaka ajira, tena kwa pesa za kutumiwa na wazazi, baada ya kuuza mazao. Na mwishoe wa kike aambulie mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…