Wachezaji walikuwa Kigali (Rwanda) au Tokyo (Japan)?Hii ndiyo Tz, They have never been serious!
Hii ni skandali kwa nchi....Bashungwa anafanya nini juzi taifa stars wamelamba 10m
watasema wanaangalia vipaumbele kwanzaBashungwa anafanya nini juzi taifa stars wamelamba 10m
Ficha ujuha wako,volleyball ni mchezo maarufu tz,ukiondoa football, basketball na boxing. ITAKUWA WEWE NDIO BASHUNGWA UNAJITETEA HUMU BAADA YA KUFANYA MADUDU,hukufaa kuongoza hii wizara ILA HAKUNA JINSI CCM LAZIMA MPEANE VITENGO ila tunaoumia ni sisiHuu mchezo kama haufahamiki hapa tanzania.
Timu ya taifa ya volleyball hata wachezaji 16 hawafiki
Pesa kwa wanasiasa tu, nyanja nyingine mtajiju!Shirikisho la Volleyball Afrika limechukua uamuzi wa kuitoa Tanzania ktk Mashindano ya Volleyball ya Mataifa Afrika yanayoendelea Rwanda, kwa kushindwa kulipa ada ya ushiriki $1,000 na $50 kwa kila mtu kwa siku 12
Hii ni aibu kwa Taifa letu
View attachment 1933294
View attachment 1933295
Sawa mkuu nimekusikiaFicha ujuha wako,volleyball ni mchezo maarufu tz,ukiondoa football, basketball na boxing. ITAKUWA WEWE NDIO BASHUNGWA UNAJITETEA HUMU BAADA YA KUFANYA MADUDU,hukufaa kuongoza hii wizara ILA HAKUNA JINSI CCM LAZIMA MPEANE VITENGO ila tunaoumia ni sisi
Kigali (Rwanda).Wachezaji walikuwa Kigali (Rwanda) au Tokyo (Japan)?