Aibu kubwa sanaShirikisho la Volleyball Afrika limechukua uamuzi wa kuitoa Tanzania ktk Mashindano ya Volleyball ya Mataifa Afrika yanayoendelea Rwanda, kwa kushindwa kulipa ada ya ushiriki $1,000 na $50 kwa kila mtu kwa siku 12
Hii ni aibu kwa Taifa letu
View attachment 1933294
View attachment 1933295
Sijui wamejisahau wapi wizaraHii ni aibu kubwa sana, hata wizara imeshindwa jambo dogo hivi?
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Bongo hii ni vimbwanga kila kukichaBashungwa anafanya nini juzi taifa stars wamelamba 10m
Tuko bize na tozo
Bongo nyosoShirikisho la Volleyball Afrika limechukua uamuzi wa kuitoa Tanzania ktk Mashindano ya Volleyball ya Mataifa Afrika yanayoendelea Rwanda, kwa kushindwa kulipa ada ya ushiriki $1,000 na $50 kwa kila mtu kwa siku 12
Hii ni aibu kwa Taifa letu
View attachment 1933294
View attachment 1933295
Inauma Mkuu..acha nikae kimya tu!Hahahah sema kitu Mkuu
😂😂😂😂😂Tanzania tu ndio nchi pekee yenye hadhina ya vituko vya kijuha
Nguvu kazielekeza kwa waimba amapianoBashungwa anafanya nini juzi taifa stars wamelamba 10m
Ccm mbere kwa mbereeeShirikisho la Volleyball Afrika limechukua uamuzi wa kuitoa Tanzania ktk Mashindano ya Volleyball ya Mataifa Afrika yanayoendelea Rwanda, kwa kushindwa kulipa ada ya ushiriki $1,000 na $50 kwa kila mtu kwa siku 12
Hii ni aibu kwa Taifa letu
View attachment 1933294
View attachment 1933295