Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,157
- 14,120
Labda wana mipango yao si unajua dual carriageway inahitaji taa za tofauti na zile za single...Tuone watafanyaje ila tuendelee kuwapa presha hivyohivyo.sawa ila kama ile ya makongoro imeisha kabisa n double road taa ni za muhimu
kwa hiyo ya nyegezi labda tuseme wanaifikiria kuipanua
Mwanza wasipokaa makini watakuja wapate tatizo la foleni haswaa hii Barbara ya Kutoka town kwenda mkuyuni-nyegezi-buhongwa mpk usagara watanue iwe Kama ya Airport!!Labda wana mipango yao si unajua dual carriageway inahitaji taa za tofauti na zile za single...Tuone watafanyaje ila tuendelee kuwapa presha hivyohivyo.
Huo mpango niliusikiaga na nashangaa hadi sasa haujawa implemented.. Au wanasubir mpaka barabara izidiwe kama ilivyokuwa ya airport!! Wakina Mabula hawa duh!!Mwanza wasipokaa makini watakuja wapate tatizo la foleni haswaa hii Barbara ya Kutoka town kwenda mkuyuni-nyegezi-buhongwa mpk usagara watanue iwe Kama ya Airport!!
Typed Using KIDOLE
wanaelewaga saMwanza wasipokaa makini watakuja wapate tatizo la foleni haswaa hii Barbara ya Kutoka town kwenda mkuyuni-nyegezi-buhongwa mpk usagara watanue iwe Kama ya Airport!!
Typed Using KIDOLE
kwa kwel mabula mi kwangu kaproove failure kwa kwel hususan kwenye barabara za mitaan na hizo kuuHuo mpango niliusikiaga na nashangaa hadi sasa haujawa implemented.. Au wanasubir mpaka barabara izidiwe kama ilivyokuwa ya airport!! Wakina Mabula hawa duh!!
Zile barabara bomba sana...sahivi nikitaka kutoka Kenyatta road hadi Nyerere road bila kupitia Pamba road napita vizuri kabisa...ila ule si mpango wa WB kweli sababu nasikia kule maeneo yake barabara haziridhishi.kwa kwel mabula mi kwangu kaproove failure kwa kwel hususan kwenye barabara za mitaan na hizo kuu
ila pia kidogo ile mitaa ya pemba tusiwe muongo kajitahid kuunganisha barabara ya lami
itakuaZile barabara bomba sana...sahivi nikitaka kutoka Kenyatta road hadi Nyerere road bila kupitia Pamba road napita vizuri kabisa...ila ule si mpango wa WB kweli sababu nasikia kule maeneo yake barabara haziridhishi.
Kaka nenda geita sehemu inaitwa katoro... Ni balaa..... Nyumba standard zote (classic) kabisaaaa mpango mji -0Umesahau na suala la ujenzi holela
Nadhani kwa Tanzania mwanza inaongoza!.
Mzee baba naona hua una allergy kabisa na Mabula(Nyamagana),hahah.Huo mpango niliusikiaga na nashangaa hadi sasa haujawa implemented.. Au wanasubir mpaka barabara izidiwe kama ilivyokuwa ya airport!! Wakina Mabula hawa duh!!
Acha utoto ndugu!Hiyo nyegezi itabidi iwe giza maana nyegezi hazitaki mwanga
ππππhahah wanazingua hao!! Wote wawili tu.Mzee baba naona hua una allergy kabisa na Mabula(Nyamagana),hahah.
Duh kwan umeandika upo timamu bossπππOrenjorai ndo nilikuwa jembe la mwanzs,toka alipoondolewa mwanza imekuwa dolo sanaa,
Wanazidiwa hata na simiyu,tabora nk, yaan mwanza inahitaji mkuu wa mkoa jembe sanaaaaaaaa,ila as for now hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa muktadha upiOrenjorai ndo nilikuwa jembe la mwanzs,toka alipoondolewa mwanza imekuwa dolo sanaa,
Wanazidiwa hata na simiyu,tabora nk, yaan mwanza inahitaji mkuu wa mkoa jembe sanaaaaaaaa,ila as for now hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Imetokomea pasipo julikanaWaliishia wapi hawa?
View attachment 1934617