Mkuu wa mkoa ametoa agizo mpk kufikia tarehe 15.11.2019 taa zote za barabarani ziwe zinafanya kazi.Habari zenu wana jamvi,
Hali la jiji la Mwanza kwa upande wa miundombinu wanajitahidi kiasi ila wanasahau vitu vichache ambavyo ni vya msingi sana.
Jiji hili barabara zake kuu zote ni giza, zile taa za usiku zote hazifanyi kazi. Yaani ni kwamba ukipita usiku kwa sisi wananchi ni shida unakuwa unatembea kwa wasiwasi na ukizingatia mkoa huu unapiga watu nyundo, unachinja watu na matukio mengi ya ajabu.
Ningependa kuwakumbusha hawa wenye mamlaka husika walifanyie kazi suala hili kwa usalama wa wananchi ili kuepuka vibaka na matukio mengine ya ajabu.
hapo atakua kasaidia sanaMkuu wa mkoa ametoa agizo mpk kufikia tarehe 15.11.2019 taa zote za barabarani ziwe zinafanya kazi.
Agizo hilo alilitoa mwanzo wa mwezi huu wa 11..ila mpk sasa sioni dalili zozote za marekebisho ya hizo taa..ngoja tuone hiyo tarehe 15 nov...mkuu wa mkoa mongella atachukua hatua gani kama hizi taa hazitafanya kazi...namkubali sana mongela atachukua hatua kali kwakupuuzwa agizo lake..ni aibu kwa jiji kama hilo kuwa giza totoro barabarani wakati mataa yapo
Acheni kupiga watu hizo nyundo basi
hapo atakua kasaidia sana
hususan ile barabara ya nyegezi ina mapori mengi kwel pale jeshini kwa hiyo itadhibiti kdg matendo ya hovyo
Hiyo nyegezi itabidi iwe hiza maana nyegezi hazitaki mwangallll
ndugu yangu maendeleo y kuweka taa za barabarani umefikia wapi aiseeMkuu wa mkoa ametoa agizo mpk kufikia tarehe 15.11.2019 taa zote za barabarani ziwe zinafanya kazi.
Agizo hilo alilitoa mwanzo wa mwezi huu wa 11..ila mpk sasa sioni dalili zozote za marekebisho ya hizo taa..ngoja tuone hiyo tarehe 15 nov...mkuu wa mkoa mongella atachukua hatua gani kama hizi taa hazitafanya kazi...namkubali sana mongela atachukua hatua kali kwakupuuzwa agizo lake..ni aibu kwa jiji kama hilo kuwa giza totoro barabarani wakati mataa yapo
huku town naona safi....cjui kwinginendugu yangu maendeleo y kuweka taa za barabarani umefikia wapi aisee
wahusika wamegoma.kabisa kufunga taa za barabarani kwenye barabara kuu za jijiBarabara kuu kutoka voil hadi mkuyuni hakuna taa kabisa pale, na nieneo hatari sana lile alafu wahusika wanajua kabisa il wapo kimya tu yani.
Barabara zote za michepuko zimefungwa taa kasoro main roads....labda wana sababu zao msiwalaumu sana.wahusika wamegoma.kabisa kufunga taa za barabarani kwenye barabara kuu za jiji
hii ya makongoro,nyegezi hata igoma ni giza tu hv mbona wanatuimbia walipa kodi
hii nayo wanataka had rais aseme duu