anaye-attach ratiba kwenye muda ni DSTV, wakongwe wa digitali.Kama hamuwezi kwenda na teknolojia mliingia kufanya nn kwenye digital setelite? vipindi vyenu na muda mnaoandika km metoka usingizini jirekebisheni uvurundo wenu ptuu mnatia aibu. AIBU YENU!!
Utafiti uko dunia gani?? Inapatikana ndio
Kama hamuwezi kwenda na teknolojia mliingia kufanya nn kwenye digital setelite? vipindi vyenu na muda mnaoandika km metoka usingizini jirekebisheni uvurundo wenu ptuu mnatia aibu. AIBU YENU!!
Poa, mzima??
Hujanipa feedbck
Hasira zote hizi ni kwasababu ya muda tu?! au kuna lingine nyuma ya pazia?? nimecheka sana unavyotoka povu jingi hivyo!!
ipi tena tunaongea mengi
sio bure utakuwa umetumwa
apa umeongea pumba tupu