Aibu hii mpaka lini midume?

Aibu hii mpaka lini midume?

sweet poison

Senior Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
104
Reaction score
15
Mficha uchi kifo humuumbua,
kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa wanaume hasa vijana.NILIWAHI KUSIKIA KUNA VIDONGE VYA KUCHELEWESHA TAFADHALI NAOMBA ANAYEVIFAHAMU NA GHARAMA YAKE ATUSAIDIE.
 
Matatizo yamewazidi vijana chukueni hatua la sivyo kupigiwa itakuwa ni siri ya ndani.
 
naona umeamua kuvunja ukimya sio hongera yako ww umeamua kuropoka inaonekana jamaa yako anakupanda kama kuku.

tatizo hao masharobaro wenu mnawaharibu wenyewe kutwa mnashinda nao saloon Mara kwenye mabanda ya baga mkitoka hapo vichipsi na vimishikaki mnawalegezaaa ona sasa wanalemaaa mnakuja kulalama hapa
 
Wapunguze kupga nyeto zisizo na maana! Na wazingatie lishe,la sivyo wataendelea kuaibika.
 
Nasikia pia kuna spray ukipuliza juu ya hii kitu hakinywei upesi. Mie sio mtaalam ma dokta watatujuza
 
Wapunguze kupga nyeto zisizo na maana! Na wazingatie lishe,la sivyo wataendelea kuaibika.

Nyeto haina madhara,maana mi nachelewa mpaka inaboa,yani natolewa kwa nguvu
 
Mficha uchi kifo humuumbua,
kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa wanaume hasa vijana.NILIWAHI KUSIKIA KUNA VIDONGE VYA KUCHELEWESHA TAFADHALI NAOMBA ANAYEVIFAHAMU NA GHARAMA YAKE ATUSAIDIE.

kabla hujamshauri mwenzio aanze kutumia hayo madawa hebu njoo kwangu nikupe demo,then utaenda kumshauri mwenzio
 
Weeeee itakuwa huyo demu kiuno kigumu ungeomba poo mwenyewe ohooo dear subiri ntak.....joa.
Nyeto haina madhara,maana mi nachelewa mpaka inaboa,yani natolewa kwa nguvu
 
Weeeee itakuwa huyo demu kiuno kigumu ungeomba poo mwenyewe ohooo dear subiri ntak.....joa.

Aaaah wapi nishajipima sana hata nikichepuka ni hivo hivo tu mtu kafika wakati mi ndo naanza
 
Mficha uchi kifo humuumbua,
kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa wanaume hasa vijana.NILIWAHI KUSIKIA KUNA VIDONGE VYA KUCHELEWESHA TAFADHALI NAOMBA ANAYEVIFAHAMU NA GHARAMA YAKE ATUSAIDIE.
Dawa ya kuchelewa kumwaga kwa wakati wa tendo mapenzi ninayo nitafute kwa wakati wako Niandikie baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com waweza pia kunitembelea blog yangu hii hapa bonyeza Mzizi Mkavu

mbwembwe zote kumbe shida MziziMkavu njoo umsaidie huyu mvulana...
Vipi kaka hujambo? Vijana wanawahi kumwaga kwa sababu ya kupiga sana Punyeto waache kupiga punyeto watakuwa wakichelewa au wawe wanakunywa kahawa chungu kabla ya mchezo kuanza au chokoleti watachelewa kumwaga mapema.
 
Wapunguze kupga nyeto zisizo na maana! Na wazingatie lishe,la sivyo wataendelea kuaibika.
Punyeto iondoe hapo; mimi nimepiga sana punyeto nikiwa shule ya upili, nilikuwa na tabia ya kupiga punyeto bao likitaka kuja nalizuiya kwa kubana misuli kama unavobana mkojo uskojoe, nafanya hivyo ili niendelee kuskia raha ya punyeto bila kupiga bao (ukipiga bao unajiona mjingamjinga flan), mpaka nazeeka sasa sijapungukiwa nguvu yoyote, tena naweza kusimamia show hata masaa kadhaa bila kupiga bao, bao naliachia nikipenda tu au mwenzangu akichoka. baadaye nilikuja kusoma sehem kuwa kitendo kile ni kuifanyisha mazoezi misuli ya uume, hivyo inakuwa imara na unakuwa na self control. Vijana ya sku hizi wanaatiriwa na vyakula wanavyokula, chipsi soda utafkiri wanawake!
 
Kwenye tendo kika kupizi mchome cha haja kubwa,basi lao laruda ndani

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mficha uchi kifo humuumbua,
kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa wanaume hasa vijana.NILIWAHI KUSIKIA KUNA VIDONGE VYA KUCHELEWESHA TAFADHALI NAOMBA ANAYEVIFAHAMU NA GHARAMA YAKE ATUSAIDIE.
Ninavyo,kuna vya 5000kidonge kimoja,
Na 20000vidonge 8 kama unahitaji nijibu kwa coment nitakuwekea namba,utapiga mzigo mpaka ukimbie.
 
Mficha uchi kifo humuumbua,
kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa wanaume hasa vijana.NILIWAHI KUSIKIA KUNA VIDONGE VYA KUCHELEWESHA TAFADHALI NAOMBA ANAYEVIFAHAMU NA GHARAMA YAKE ATUSAIDIE.

Acha ujinga, msikurupuke kuanza kutumia vidonge na mwisho akawa hasimamishi kabisa! Mwambie akiingiza awe anaichomoa akiona utamu umeanza kukolea, hii itachelewesha kumwaga shahawa. Vile vidonge vipo kwa ajili ya watu wenye erectile dysfunction! Aafu inaonekana una kauli mbaya kwa huyo mwenzio,, kuna siku utakuta haisimami kabisa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom