AI Programming Part 2 (Draft game programming)

AI Programming Part 2 (Draft game programming)

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,968
Leo tunaendelea na AI programming. Nitachanganya kingereza na kiswahili katika maelezo yangu.
 
Kitu cha kwanza tunatakiwa kutengeneza kete ya kucheza.
 
Kitu cha kwanza tunatakiwa kutengeneza kete ya kucheza.
Properties of that Kete.
1. Color
2. Current Box
3. Neighbors
4. NextBoxes
5. Status
6. isAuto

Hizi ni properties za hiyo kete.

Annael, ninakuaona kwa mara ya kwanza hapa jamii forums. Nimekuwa natafuta mwalimu wa programming bila mafanikio.
Nakuomba sana mimi nitumie email kwa ak_abduel@yahoo.com iliunisaidie privately. Mimi ni mama yako naomba msaada
asante
 
Kitu cha kwanza tunatakiwa kutengeneza kete ya kucheza.
Properties of that Kete.
1. Color
2. Current Box
3. Neighbors
4. NextBoxes
5. Status
6. isAuto

Hizi ni properties za hiyo kete.

where's the Pseudo code!‎؟
 
Baada ya kutengeneza kete kitu kinachofuata ni kuchora draft.
draft letu litakuwa na box 16 za kuchezea na 16 ambazo sio za kuchezea.
Tutatengeneza object moja ya box la kuchezea ambalo tutakuja kuzalisha box 16 za kuchezea.

Tuko pamoja wana JF
 
Box litakuwa kama ifuatavyo.
Litakuwa na properties na methods
Properties

XLocation
YLocation
hasKete
RelativeBoxes
CanPlay


Methods
FindEnermy
Score
MakeKeteKing
PlayNow
ThinkWhereToPlay
 
Baada ya hapo tunatengeneza Container litakalochukua boxes yaan boxes 32 za kuchezea na zile zisizo za kuchezea.

Container litakuwa na properties na methods

Properties
BoxWidth
BoxHeight
AllowSound

Methods
Initialize
AutoPlay
AutoPlayFormulas
 
Sitakuwa na mda wa kuandika Flow chart wala pseudo code.
Nitaenda moja kwa moja kwenye VB.NET source code kwa kila kimoja.

Objects hizo tatu nilizo ongea hapo juu zote zitakuwa user control
na container letu tutaliweka kwenye form


Sasa hebu tuanze kwa vitendo kutengeneza object moja baada ya nyingine
Sawa wana sayansi wenzangu?
 
Tuna anza na Kutengeneza Kete
Kama uko na Visual Studio itakuwa rahisi kwako just Create new Windows Project.
Then default form itakuja.
Then Add new item (user control )
Change Name to Kete
Kisha subiri tuanze kazi.
 
Utakuwa na kitu kama kifuatacho

Code:
[FONT=lucida console][COLOR=#0066ff]Public Class [/COLOR]Kete


 
[COLOR=#0066ff]End Class[/COLOR][/FONT]
 
watching the space.....:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Code:
[COLOR=#0066ff]Public Class [/COLOR]Kete
 
    [COLOR=#0066ff]Private [/COLOR]NormalImage [COLOR=#0066ff]As [/COLOR][COLOR=#33cccc]Bitmap[/COLOR]
    [COLOR=#0066ff]Private [/COLOR]AutoImage [COLOR=#0066ff]As [/COLOR][COLOR=#33cccc]Bitmap[/COLOR]
    [COLOR=#0066ff]Private [/COLOR]KingNormal [COLOR=#0066ff]As [/COLOR][COLOR=#33cccc]Bitmap[/COLOR]
    [COLOR=#0066ff]Private [/COLOR]KingAuto [COLOR=#0066ff]As [/COLOR][COLOR=#33cccc]Bitmap[/COLOR]
 
 
[COLOR=#0066ff]End Class[/COLOR]
 
Sikulewi? Tajiri wa miraba minne? "Vala vache vose ijakweni -- Sikuelewi" 🙂

I mean I closely follow!
Duh baba mimi ninajua Programming tu. Na ninapenda kushea vitu na wenzangu.
 
Sitakuwa na mda wa kuandika Flow chart wala pseudo code.
Nitaenda moja kwa moja kwenye VB.NET source code kwa kila kimoja.
Mh! Hapa inabidi tu nihamishe kijiwe maana VB/VB.Net siipendi tangu enzi. Nilikuwa nasubiri maelezo na algo ya game lenyewe!

Adios!
BH,
 
Code:
[COLOR=#0066ff]Public Enum [/COLOR][COLOR=#339966]KeteStatus[/COLOR]
    Normal = 1[COLOR=#0066ff][/COLOR]
    Auto = 2
    KingNormal = 3
    KingAuto = 4
[COLOR=#0066ff]End Enum[/COLOR]
 
Back
Top Bottom