AI na ushahidi wa picha

AI na ushahidi wa picha

Ibn Unuq

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
5,296
Reaction score
9,656
Kupitia AI,

Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu.

Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu ukaonyesha na picha bhasi utaaminika mia kwa mia.

Ila kwasasa, picha ambazo zingeweza kutumika kama ushahidi wa kweli kwa watu wengine zinaweza kubuniwa tu kwa AI kwa ufanisi sana.

Siku za usoni:

Makosa ya kisheria, Kesi za jinai au kesi za kiraia zina hatari kubwa ya kushawishiwa na picha za uongo.

Itakuwa ngumu kuwaaminisha watu kama ulitembelea sehemu fulani hata kama una picha au video fupi.

Mtu akikutumia picha hutaweza tena kuamini muonekano wake mpaka ukutane naye.

Huko mbeleni hata ukitumiwa picha ya lijamaa linamgegeda mke wako, haitakuwa rahisi kuamini.

Hata wataalamu wa picha bado wanaweza kuchanganyiwa.

AI inachanganya uhalisia na uongo,
Nyuso, matukio, au mazingira yanaweza kuundwa na programu za AI kwa usahihi mkubwa kwasasa.

Inahitajika teknolojia ya kugundua picha bandia na uthibitisho kutoka kwa vyanzo vingi.

Hebu niambie wewe unalionaje hili suala la AI na ushahidi wa kipicha linakoelekea...!?
 
Picha yeyote utakayo wasilisha mahakamani kama ushahidi ni lazima ithibitishwe na Mtaalamu wa Picha kama ni halisi au A.I.

Kabla ya kutumika kama Kielelezo cha ushahidi.

Rejea kesi ya TAL

Picha zinabuniwa kwa utaalamu mkubwa kiasi kwamba ni ngumu kugundua.

Hua kunakuwa na video mjongeo ambazo AI detector huwa inashindwa kutoa jibu.
 
Kajumuike nao
20260104_204616.jpg
 
Kupitia AI,

Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu.

Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu ukaonyesha na picha bhasi utaaminika mia kwa mia.

Ila kwasasa, picha ambazo zingeweza kutumika kama ushahidi wa kweli kwa watu wengine zinaweza kubuniwa tu kwa AI kwa ufanisi sana.

Siku za usoni:

Makosa ya kisheria, Kesi za jinai au kesi za kiraia zina hatari kubwa ya kushawishiwa na picha za uongo.

Itakuwa ngumu kuwaaminisha watu kama ulitembelea sehemu fulani hata kama una picha au video fupi.

Mtu akikutumia picha hutaweza tena kuamini muonekano wake mpaka ukutane naye.

Huko mbeleni hata ukitumiwa picha ya lijamaa linamgegeda mke wako, haitakuwa rahisi kuamini.

Hata wataalamu wa picha bado wanaweza kuchanganyiwa.

AI inachanganya uhalisia na uongo,
Nyuso, matukio, au mazingira yanaweza kuundwa na programu za AI kwa usahihi mkubwa kwasasa.

Inahitajika teknolojia ya kugundua picha bandia na uthibitisho kutoka kwa vyanzo vingi.

Hebu niambie wewe unalionaje hili suala la AI na ushahidi wa kipicha linakoelekea...!?
Ni ukweli ulicho andika haswa kwa ulimwengu wa 3 ila kila kitu kinacho zaliswa na AI kinakuwa na code yake kwenye data base ya IA hivyo wakubwa wa dunia wakitaka kujua ukweli wanajua ndiyo maana AI siyo software binafdi yenye data base binafsi ya kuchakata vitu kuna makampuni yenye reseni
 
Sahihi.
Lakini ulimwengu wa tatu ni upi huo?
 
Simple tu.
Haya makampuni yaliyotengeneza hiyo tech ya AI yatatengeneza program//app ya kutambua hii ni AI au sio.

Watapiga hela mara mbili.
 
Kupitia AI,

Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu.

Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu ukaonyesha na picha bhasi utaaminika mia kwa mia.

Ila kwasasa, picha ambazo zingeweza kutumika kama ushahidi wa kweli kwa watu wengine zinaweza kubuniwa tu kwa AI kwa ufanisi sana.

Siku za usoni:

Makosa ya kisheria, Kesi za jinai au kesi za kiraia zina hatari kubwa ya kushawishiwa na picha za uongo.

Itakuwa ngumu kuwaaminisha watu kama ulitembelea sehemu fulani hata kama una picha au video fupi.

Mtu akikutumia picha hutaweza tena kuamini muonekano wake mpaka ukutane naye.

Huko mbeleni hata ukitumiwa picha ya lijamaa linamgegeda mke wako, haitakuwa rahisi kuamini.

Hata wataalamu wa picha bado wanaweza kuchanganyiwa.

AI inachanganya uhalisia na uongo,
Nyuso, matukio, au mazingira yanaweza kuundwa na programu za AI kwa usahihi mkubwa kwasasa.

Inahitajika teknolojia ya kugundua picha bandia na uthibitisho kutoka kwa vyanzo vingi.

Hebu niambie wewe unalionaje hili suala la AI na ushahidi wa kipicha linakoelekea...!?
Hakika.
 
Simple tu.
Haya makampuni yaliyotengeneza hiyo tech ya AI yatatengeneza program//app ya kutambua hii ni AI au sio.

Watapiga hela mara mbili.
Sahihi mkuu.
 
Back
Top Bottom