Ahukumiwa maisha jela baada ya kubaka

Ahukumiwa maisha jela baada ya kubaka

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. milioni 5 Kijana mwenye umri wa miaka 19 Calvin Kahonga baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka minne.

Siku ya tukio Calvin alikwenda nyumba anayoishi Mtoto huyo na kumbaka wakati Mama wa Mtoto alipokwenda kuchota maji na Calvin alipomaliza kufanya tukio hilo alikimbia, Mama wa Mtoto aliporejea aligundua Mtoto wake hayupo sawa ndipo akaenda kutoa taarifa katika ofisi ya Serikali ya Kijiji na taratibu za kumkamata Calvin zikafanyika.

Calvin alipopewa nafasi ya kujitetea Mahakamani hapo aliiomba Mahakama impunguzie adhabu kwasababu Mama yake mzazi ni Mlemavu wa mikono na anamtegemea kwa kila kitu lakini Wakili Baton Mayage akaomba Mahakama impe adhabu kali kwakuwa kosa hilo ni la pili na aliwahi kumlawiti Mtoto.

Calvin ambaye ni Mkazi wa Pawag, Isimani Mkoani humo amewahi kuhukumiwa kuchapwa viboko 12 akiwa na umri wa miaka 18 mwaka jana baada ya Mahakama ya Wilaya kumkuta na hatia ya kumlawiti Mtoto wa miaka mitatu.

Kesi hiyo imesimamiwa na Mawakili wa Serikali Ruben Lubango na Baton Mayage na ilikuwa na Mashahidi watatu ambao ni Mtoto, Mama na Daktari ambapo akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Mkuu Said Ally Mkasiwa amesema Mtuhumiwa amekutwa na hatia kutokana ushahidi uliotolewa Mahakamani hapo hivyo anastahili adhabu hiyo.
#MillardAyoUPDATESView attachment 2783852

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi sasa ndio habari za millardayo
 
Naona kama kifungo cha maisha ni adhabu ndogo, mtu unapata wapi ujasiri wa kubaka tena mtoto mdogo, alitakiwa kuuwawa kabisa
 
Hawa wezi wa Mali za umma ujue ndio wabakaji na wezi na wanaokula wanawapa watu mateso na wao walistahili hii adhabu na kunyongwa. Yaani unapoiibia nchi unafurahi Sasa Kuna watu wanateseka na wengine wanakufa ,Ila ngoja nature itawale
 
Dahhhh! Mtoto mdogo unapataje guts za kumuingilia jamanii??!!!!

Na kabakaji kenyewe katoto ukute nako walishakaharibu muda!!

Dunia inakoelekea hii[emoji119][emoji119][emoji119]!
Unawajua waganga?
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. milioni 5 Kijana mwenye umri wa miaka 19 Calvin Kahonga baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka minne.

Siku ya tukio Calvin alikwenda nyumba anayoishi Mtoto huyo na kumbaka wakati Mama wa Mtoto alipokwenda kuchota maji na Calvin alipomaliza kufanya tukio hilo alikimbia, Mama wa Mtoto aliporejea aligundua Mtoto wake hayupo sawa ndipo akaenda kutoa taarifa katika ofisi ya Serikali ya Kijiji na taratibu za kumkamata Calvin zikafanyika.

Calvin alipopewa nafasi ya kujitetea Mahakamani hapo aliiomba Mahakama impunguzie adhabu kwasababu Mama yake mzazi ni Mlemavu wa mikono na anamtegemea kwa kila kitu lakini Wakili Baton Mayage akaomba Mahakama impe adhabu kali kwakuwa kosa hilo ni la pili na aliwahi kumlawiti Mtoto.

Calvin ambaye ni Mkazi wa Pawag, Isimani Mkoani humo amewahi kuhukumiwa kuchapwa viboko 12 akiwa na umri wa miaka 18 mwaka jana baada ya Mahakama ya Wilaya kumkuta na hatia ya kumlawiti Mtoto wa miaka mitatu.

Kesi hiyo imesimamiwa na Mawakili wa Serikali Ruben Lubango na Baton Mayage na ilikuwa na Mashahidi watatu ambao ni Mtoto, Mama na Daktari ambapo akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Mkuu Said Ally Mkasiwa amesema Mtuhumiwa amekutwa na hatia kutokana ushahidi uliotolewa Mahakamani hapo hivyo anastahili adhabu hiyo.
#MillardAyoUPDATESView attachment 2783852

Sent using Jamii Forums mobile app
Atapata wapi hela ya kulipa akiwa gerezani? Hilo limekaaje Kisheria?
 
Unaweza kuta dogo kasingiziwa ulimwengu Una mambo ya ajabu mnoo Haswa ukiwa kwangu pakavu utabebeshwa malawama,,mara mavyesi ya ajabu ajabu ya watu wengine huko,,,utakosa watetezi,,utakandamizwa na kuonewa hata Kwa usiyo Stahili,,,utasingiziwa mabaya na hata kubebeshwa dhambi za wengine usizostahimili wala kustahili pia na mbaya hakuna wa kukuzingatia wala kusikiliza,,,unatamani waujue ukweli lakini ndio hivyo haiwezakani kirahisi Kwa kuwa uovu/uongo Una nguvu kuliko ukweli/Wema kwenye huu ulimwengu ni ngumu mnoo kuipata kweli na Haki!!
 
Back
Top Bottom