Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Hebu litizame hili kafiri mgen eti ndio wanakaa wanajisifu wana elimu
Mkuu mapovu ya nini? Kwani umeshajibu hoja kuu ya mtu kuhukumiwa kifo kwa kupigwa mawe eti kwa kuwa amejamba msikitini mara kadhaa?
 
A Pakistani judge has sentenced a man to be executed after he was expelled 17 times from 6 different mosques for excessive farting during the period of the Ramadhan reports the Islamabad Herald this week.

The Ramadhan is the most important religious festival for Muslims and the judge declared that he had indisposed people of the faith and even caused 53 people at one time to leave the mosque during a prayer, a “blasphemous act” which should be punished “according to Allah’s will.”

The judge was lenient, have admitted many experts in the region, as he gave the convicted man the choice of being beheaded or stoned to death.

“The law is clear, he should be stoned to death, beheading is a very light sentence and saves him from any suffering,” protested the government prosecutor.

Deputy District Public Prosecutor (DDPP) Syed Anees Shah told reporters the accused got a “very light sentence” for the crime of blasphemy.

Muhammad Al-Wahabi, 33, suffers from chronic flatulence, “a rare medical condition” he argued in his self-defense, as no lawyer would take his case.

“No lawyer is crazy enough to bet his career on this issue. If his client his condemned, as in this case, the lawyer would face prosecution and possibly the same faith as his client” admits legal expert Andrew Jones, a Middle Eastern law expert.

Al-Wahabi did not contest the judgment and even said the judgment was fair and that he hoped Allah would be gracious enough to pardon his blasphemous actions.

Al-Wahabi also admitted that he put a tampon in his rectum several times in a desperate attempt to mask the noise and odor.

“A disgraceful and insidious act” the judge declared, visibly disgusted.

“Muslims are not allowed to insert any objects inside their anus, not even a finger, it is forbidden by the Koran,” said the judge.

“As a judge, I must set an example for other Muslims. This is clearly unacceptable under Shariah law,” he concluded.

Al-Wahabi admitted to the judge he had failed his God, his religion, and his people and was terribly sorry for what he had done, and asked for his two wives and seven children’s mercy in court and thanked the judge for his verdict. . -Agencies
Huu ni udhalilishaji kwa dini nyingine na hizi ni story za kutunga na sisi kama waisilamu tunakushitakia kwa Mungu kwa udhalili huu kwani nchi hii haitawaliwi na sheria za Kiisilamu ingekuwa hivyo sheria ingechukua mkondo wake uisilamu hauko hivyo ama tupe andiko lolote linaloonyesha unachokisema
 
Attchment uloweka kiukweli nakupa big up. Kwa sababu najaribu kukufahamisha kuwa Male manake sio mb...ooo wala Female manake sio maku.... lakini hutaki, kwa sababu ukikubali ukweli wa hizo maana unaona kuwa utadhalilika kwa kupost kitu na kukitafsiri vengine kwa lengo la kuwapotosha makafiri wenzako... Pole dogo

Kwanini lakini you are choosing to be fool even after being informed that Male and Female are genders and not genital parts? 😀 hebu nijibu basi... mana hakuna swali ata moja nlokuuliza ukajibu... unayakimbia.... yanakuchoma kwani? 😀 😀
nimecheka hadi nimekasirika kwa huo msiba wako wa kujitakia...furqan imeeleza wazi bila kificho
42-surah-ash-shura-the-council-8-728.jpg
a6e167254e705c62791795caa68d9555.jpg
wee umo tu unagonga kichwa ardhi
CeKzLeCW0AAzoqb.jpg
nakuzibua uzibuke huko siko ndio kwanza unaleta fani ya wazimu ni kweli
47ab871a5fd78c9af8d990757b9ba361.jpg
 
Mkuu mapovu ya nini? Kwani umeshajibu hoja kuu ya mtu kuhukumiwa kifo kwa kupigwa mawe eti kwa kuwa amejamba msikitini mara kadhaa?
Liko wapi povu? Kwani kuna ushahidi wa aya ama wa hadithi wa kutoa hio hukmu?
 
Ukiwa tayari kujibu hoja mi nipo.... Nasubiria umalize kujifunza maana ya Male na Female
male ana dhakar na female ana ontha ndipo akasem wama khalaqa dhakar waal ontha...takbirrrr..
 
uliza kama kuna muislam amewahi kwenda msikitini na kasalimika kupulizwa na upepo matakoni
 
Huu ni udhalilishaji kwa dini nyingine na hizi ni story za kutunga na sisi kama waisilamu tunakushitakia kwa Mungu kwa udhalili huu kwani nchi hii haitawaliwi na sheria za Kiisilamu ingekuwa hivyo sheria ingechukua mkondo wake uisilamu hauko hivyo ama tupe andiko lolote linaloonyesha unachokisema
Kumbe unajua kuwa sheria zenu sio
 
Duhhh kama ni hivyo inahitajika kwa baadhi y'all nchi kabla haujaenda upate walau semina maana unaweza kudharaulika ingawa huyo jamaa alizidisha kajamba mara 17 ndani y'all misikiti 6 tofauti angepimwa kwanza ubongo alafu anathibitisha kabisa kwamba kuna vitu anaweka kwenye mkundu ili kuzuia harufu, huyu jamaa sio bure.........
 
male ana dhakar na female ana ontha ndipo akasem wama khalaqa dhakar waal ontha...takbirrrr..
Lakini tafsiri ya Dhakar kwa kiarabu sicho ulichofikiria wala untha 😀

Pia male ana kifua, female ana machuchu mbona hukusema kaapia Maziwa?

Female anapata mimba, Male anatia mimba, mbona hukusema kaapia kwa mtiaji mimba na mtiwa mimba?
 
not fair......kujamba ni afya bhana......ndo mana kabla na baada ya kufanyiwa operation unaulizwa "umejambaaa"
 
Lakini tafsiri ya Dhakar kwa kiarabu sicho ulichofikiria wala untha 😀

Pia male ana kifua, female ana machuchu mbona hukusema kaapia Maziwa?

Female anapata mimba, Male anatia mimba, mbona hukusema kaapia kwa mtiaji mimba na mtiwa mimba?

IMG_20171227_172308_508.jpg
wama khalaqa dhakar al ontha kwa aliye umba dhakar na kile cha kike sio mgen aliye andika mimi nimenukuu tu
hayo mambo ya kupata mimba kutia mimba...ni mbweraa
 
View attachment 661752 wama khalaqa dhakar al ontha kwa aliye umba dhakar na kile cha kike sio mgen aliye andika mimi nimenukuu tu
hayo mambo ya kupata mimba kutia mimba...ni mbweraa
Anha, kumbe bado hujajifunza... haya chukua muda ujifunze male and female tena.... unaweza kujiunga na mafunzo ya kiarabu pia, utafundishwa hizo maana kwa kiswahili. Madhara ya kufuata bibilia hayo, maana bibilia haifahamiki na kazi kujigonga tu na kudanganya watu. sasa na wewe umechafuka. Hujui Jinsia ni kitu gani.... kasome tena.

Kisha ningependa uniletee mstari kutoka genesis 5:2 basi
 
0108.jpg

anaapia kwa aliye umba
 
utaonaje nawe kafir pofu wenye macho hapo View attachment 661597 wanaona hapo anaapia kwa dhakar na ku...am eti walahi ndio kiapo tu mbona hutaki kuhoji hapo "wama khalaqa" umeng'ang'ania chura na thakar tu ndio sababu uchu wa kungonoka sardaus umewaponza sasa huu mtungo View attachment 661608 wee umo labda Mungu awe babu yako

CARDINALS IN ROME GAY SAUNA

SW_pope-Sauna.jpg
 
Back
Top Bottom