MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,719
- 21,954
Njoo mwanahalisi.on.forum.mm nilianzisha Uzi faster dk 0 ukafutwa
Bora vilaza mtoke tu.na hata chadema mtatoka baada ya kuangukia pua
Na umukatae na mama yako maana tangu uzaliwe mama yako ni huyo huyo hauchoki?
Fikirini sana nyie vijana bado muna safari ndefu sana na nchi hii kuliko Lowasa.
Kama hela kuleni maana ni za walipa kodi alizoiba, zinarudi kwa style ya yeye kutaka madaraka.
Na hiyo ndio njia pekee, maana Mungu kaujakaza tamaa ya URAIS moyo wa El ili hela irudi kwetu.
Kuleni deal zimehamia CHADEMA
Punguzeni matusi tu !
Bora vilaza mtoke tu.na hata chadema mtatoka baada ya kuangukia pua