Ahsante whatsapp+ v1.88

Ahsante whatsapp+ v1.88

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,050
Reaction score
1,359
Kila siku watu walikuwa wakitafuta apps lock kwa ajili ya kuficha chats zao n.k!

Habari njema kwa watumiaji wa whatsapp+ sasa unaweza kuhide chat zako pia chat vonversation na mtu hasiwezs kuona kabisa pia inamwonekano mzuri balaa

Kwa wale ambao hamjawahi itumia na wale ambao hamjaupdate fanyeni hima uifurahi whatsapp+
 
Ukitumia whatsapp+ ukirud kwa whatsap ya kawaida unafungiwa kutumia whatsapp kwa masaa 48
 
Mimi ya kwangu inapumulia mashine zimebaki siku chache ifungwe hadi nitakapolipia. Hapo ndipo nitakapokimbilia hiyo whatsapp+. Habari njema hii.
 
Kila siku watu walikuwa wakitafuta apps lock kwa ajili ya kuficha chats zao n.k!

Habari njema kwa watumiaji wa whatsapp+ sasa unaweza kuhide chat zako pia chat vonversation na mtu hasiwezs kuona kabisa pia inamwonekano mzuri balaa

Kwa wale ambao hamjawahi itumia na wale ambao hamjaupdate fanyeni hima uifurahi whatsapp+
Hii nzur..itasaidia kuongeza privacy...mana kuna wengn akiomb cm yako cha kwanz ni kufungua whatsapp..
 
Mimi ya kwangu inapumulia mashine zimebaki siku chache ifungwe hadi nitakapolipia. Hapo ndipo nitakapokimbilia hiyo whatsapp+. Habari njema hii.
Mkuu wala ucogope..mm nna zaid ya mika 3 sas natumia whatsapp na cjawah lipia...kila mda unapoisha hua napat hii notification "Extended" kutok whatsapp..then nkichck mda uliobak nakuta 1 yr.
 
Ila hizi privacy zimezidi sasa kuna mtu nilimshuhudia amezifungia hadi password simu zinazoingia, yani simu inaita kuipokea tu mpaka password, sasa ikitokea dharura sijui huyu mtu anasaidiwaje.
 
Kila siku watu walikuwa wakitafuta apps lock kwa ajili ya kuficha chats zao n.k!

Habari njema kwa watumiaji wa whatsapp+ sasa unaweza kuhide chat zako pia chat vonversation na mtu hasiwezs kuona kabisa pia inamwonekano mzuri balaa

Kwa wale ambao hamjawahi itumia na wale ambao hamjaupdate fanyeni hima uifurahi whatsapp+

Asante kwa taarifa kiongozi
 
Back
Top Bottom