Ahsante whatsapp+ v1.88

Ahsante whatsapp+ v1.88

Kila siku watu walikuwa wakitafuta apps lock kwa ajili ya kuficha chats zao n.k!

Habari njema kwa watumiaji wa whatsapp+ sasa unaweza kuhide chat zako pia chat vonversation na mtu hasiwezs kuona kabisa pia inamwonekano mzuri balaa


Kwa wale ambao hamjawahi itumia na wale ambao hamjaupdate fanyeni hima uifurahi whatsapp+

Msaada kiongozi.. Mbona napo jaribu kuinstall whatsapp pluss inaniambia kuna app nyingine kama hiyo ilishakua installed.. Kama hii 1429081524080.jpg
 
Mkuu wala ucogope..mm nna zaid ya mika 3 sas natumia whatsapp na cjawah lipia...kila mda unapoisha hua napat hii notification "Extended" kutok whatsapp..then nkichck mda uliobak nakuta 1 yr.
Du! Afadhali. Kumbe nisiwakorofishe kwa kuweka whatsapp+
 
Hii nzur..itasaidia kuongeza privacy...mana kuna wengn akiomb cm yako cha kwanz ni kufungua whatsapp..

how does it work kuficha hizo conversation hebu nipe shule kidogo!!
 
Nili backup cinservation,nika delete wasap messenger, nikaanza kuinstall ikagoma,kama hapo juu.
 
Labda njia rahis zaid ni kuchange account kwa kuweka line nyingine, wakiextend duration bas unarudisha line yako ilozoeleka
 
Back
Top Bottom