nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,909 Mar 30, 2012 #21 Husninyo said: shemeji rudisha poti la mtoto. Click to expand... Shemeji wanipa mtihani mimi mbona nilikuwa safari nimekuletea zawadi ya magimbi na senene
Husninyo said: shemeji rudisha poti la mtoto. Click to expand... Shemeji wanipa mtihani mimi mbona nilikuwa safari nimekuletea zawadi ya magimbi na senene
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Mar 30, 2012 #22 nitonye said: Shemeji wanipa mtihani mimi mbona nilikuwa safari nimekuletea zawadi ya magimbi na senene Click to expand... Honey achana nae, anajua sana kuwa ulikuwa safarini, akileta mchezo hapati zawadi.
nitonye said: Shemeji wanipa mtihani mimi mbona nilikuwa safari nimekuletea zawadi ya magimbi na senene Click to expand... Honey achana nae, anajua sana kuwa ulikuwa safarini, akileta mchezo hapati zawadi.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,687 Mar 30, 2012 #23 nitonye said: Shemeji wanipa mtihani mimi mbona nilikuwa safari nimekuletea zawadi ya magimbi na senene Click to expand... jana kwenye birthday uliiba poti la mtoto lilikuwa na kinyesi ukafikiri keki.
nitonye said: Shemeji wanipa mtihani mimi mbona nilikuwa safari nimekuletea zawadi ya magimbi na senene Click to expand... jana kwenye birthday uliiba poti la mtoto lilikuwa na kinyesi ukafikiri keki.
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Mar 31, 2012 #24 nitonye said: Shemeji wanipa mtihani mimi mbona nilikuwa safari nimekuletea zawadi ya magimbi na senene Click to expand... Ooh! Maskini hizo zawadi ntazifata mie kesho, leo tumechoka miili kwani nishampa Muhogo wangu hapa kala sana wife , acha tupumzike.
nitonye said: Shemeji wanipa mtihani mimi mbona nilikuwa safari nimekuletea zawadi ya magimbi na senene Click to expand... Ooh! Maskini hizo zawadi ntazifata mie kesho, leo tumechoka miili kwani nishampa Muhogo wangu hapa kala sana wife , acha tupumzike.
chumvichumvi JF-Expert Member Joined May 6, 2010 Posts 1,207 Reaction score 313 Mar 31, 2012 #25 hppy birhday