Aliyesambaza uongo na kufanya uhaini ni lile lizee lishamba li Makalla lililosema CDM wanataka kusambaza MPOX.Je,ni kweli kasambaza uongo na uhaini?
na hapo ndipo mijadala inapoibuka.
Aliyesambaza uongo na kufanya uhaini ni lile lizee lishamba li Makalla lililosema CDM wanataka kusambaza MPOX.Je,ni kweli kasambaza uongo na uhaini?
na hapo ndipo mijadala inapoibuka.
Kumbe hujawahi kwenda lumande,Na asije akajivimbisha huko rumande ati yeye ni Mwenyekiti wa chama na hivyo anataka kula chakula cha Nyumbani.
☝🏿Nasisitizia kwa mfyonyo wa kikuria
Ale Ugali na Maharage kama mahabusu wengine tu
Hongera sana Polisi.
Kuna video yake humu jf ukisikiliza with neutral ground, kuna ukakasi flani , na hiyo imeenda! Kesi yake ni kubwa mno hadi iishe uchaguzi utakuwa ni historia!Je,ni kweli kasambaza uongo na uhaini?
na hapo ndipo mijadala inapoibuka.
Lissu kalilia uwembeSalaam wakuu,
Nimetafakari sana na kuona tangu kundi la G55 kuibuka ndani ya chadema, mijadala mingi ilianza kuhoji uwepo wa jambo hili ndani ya CHADEMA,
Sasa tangu kukamatwa kwa TAL upepo umegeuka,kila sehemu ni hoja na maswali ya kwanini
Lissu amekamatwa na jibu wanalopewa ni kuanzishwa kwa ''NO REFORMS,NO ELECTION''
Kwa hiyo slogan hii inasambaa kwa kasi nchi nzima kuliko asingekamatwa.
Ukakasi wa kitu unategemea na ulimi wa anayeonja.Kuna video yake humu jf ukisikiliza with neutral ground, kuna ukakasi flani , na hiyo imeenda! Kesi yake ni kubwa mno hadi iishe uchaguzi utakuwa ni historia!
Amepewa,usisahau methali inayosema ''mchelea mwana kulia,hulia yeye''Lissu kalilia uwembe
Uhaini ni taarifa?Sio kweli, kinachosemwa na habari zilizoenea ni Lissu ameshtakiwa kwa kwa KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO na UHAINI.