Ahsante Alex Msama kuwasaidia vijana ajira, Kama nchi bado tuna tatizo kubwa

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,561
Mliopita viwanja vya leaders Leo mtakua mmeona mafuriko ya vijana walioudhuria interview ya bwana Alex Msama.

Kwakweli Kama Taifa tujitathimini ajira ni tatizo Sana Sana Sana.

Mliopata neema ya ajira na maisha shikilieni Sana icho mlichonacho hali ngumu
 
Kuna kupaa kimaisha nje ya kufanyia watu kazi.. embu msitushushe moyo wa kutaka kutafuta zetu. Akili za darasani tupewe.. iweje mnakazania tufanye kazi na kusuviri mshahara tu? Leteni hata mawaiza ya biashara na mengine.. lia lia zenu zinatuboa wengine.
 
Sasa mtu hata mtaji wa elfu kumi Hana katoka chuo kwanini hasiajiliwe akipata pa kuanzia ajiajiri mwenyewe Nani ambaye hajawai kuajiriwa tofauti na waliopata mafanikio kwa kurithi Mali au misaada?
 
Kumbe cku nyingine unakuwaga timamu eenh?
 
Kuna kupaa kimaisha nje ya kufanyia watu kazi.. embu msitushushe moyo wa kutaka kutafuta zetu. Akili za darasani tupewe.. iweje mnakazania tufanye kazi na kusuviri mshahara tu? Leteni hata mawaiza ya biashara na mengine.. lia lia zenu zinatuboa wengine.
Mnaokaa kwa mama zenu au vigeto vya chumba kimoja vya kulipiwa kodi mkisubiria kuolewa na wanaume wenye ela mna kera sana...unaongea kwa kua upo unasubiri mwanaume ajipange uje utelezee ganda la ndizi....uyo unaetaka akajiajiri umempa mtaji...unajiajiri vp bila kuajiriwa upate mtaji wa ukajiajiri...msiwe mnaongea tu kama vile mmekatwa kichwa....akili za watu wa chama fulani izi
 
Sasa mtu hata mtaji wa elfu kumi Hana katoka chuo kwanini hasiajiliwe akipata pa kuanzia ajiajiri mwenyewe Nani ambaye hajawai kuajiriwa tofauti na waliopata mafanikio kwa kurithi Mali au misaada?

Jishangae kwanza.. data za udaku watu wanapata bila shida. Kama mtu hauna mawazo si bora uulize ndugu na jamaa au uingie humu kuuliza au kusoma jukwaa la biashara au? Ndio wasomi wengi akili hizo hawana za biashara.. hivyo tujue kila kitu kina mwanzo. Kujiongeza muhimu
 
Kuna kupaa kimaisha nje ya kufanyia watu kazi.. embu msitushushe moyo wa kutaka kutafuta zetu. Akili za darasani tupewe.. iweje mnakazania tufanye kazi na kusuviri mshahara tu? Leteni hata mawaiza ya biashara na mengine.. lia lia zenu zinatuboa wengine.
hahahaha nawe duuuu????????????
 
Sasa mtu hata mtaji wa elfu kumi Hana katoka chuo kwanini hasiajiliwe akipata pa kuanzia ajiajiri mwenyewe Nani ambaye hajawai kuajiriwa tofauti na waliopata mafanikio kwa kurithi Mali au misaada?

Unaweza kukopa hata kwa wazazi au ndugu kiasi unachoona unakihitaji.. na kuanza na hiyo elfu kumi uliyoitaja kama mtu ndio unaona itakupeleka kuanza hata kuuza maji.. uvivu ndio tabu kubwa kwa watanzania wengi. Watu wengi wana fikra za kuvunja wengine moyo.. kama wewe.
 
Kwa suala hili la ajira kwa wananchi wetu taasisi kama BOT yaani benki kuu wanaweza kutoa mchango mkubwa kwa kutoruhusu benki kuajiri wageni kwa kazi zimazoweza kufanywa na Watamzania.

Bot should not approve contracts with Technical Assistance components kwani huko ndiko wanakochukia ajira za wananchi wetu.
 
Nilisikia mshahara analipa buku 40 kwa mwezi...sasa sijui hiyo ni ajira au kibarua.
 
Mliopita viwanja vya leaders Leo mtakua mmeona mafuriko ya vijana walioudhuria interview ya bwana Alex Msama kwakweli Kama Taifa tujitathimini ajira ni tatizo Sana Sana Sana .

Mliopata neema ya ajira na maisha shikilieni Sana icho mlichonacho hali ngumu
Umefunga PM yako naomba unitafute nina shida nawe
 
Back
Top Bottom