Mwongo dadaako..........:A S-eek::A S-eek:Kweendraaa
Mkwe.... nilikumis tu....
Nipo Mkwe..
Mkwe unaweza kufanya kama huyo Mama?
Mmm Jamanii hadi nimelia
Umeona eh? Hilo toto lingekuwa na kansa ya kikojoleo inawezekana maza angejitolea mgegedo wa dogo ukatwe ajitolee K yake apewe dogo. Afu kwa kimombo angemwambia "Love your hubby, son"
hadithi itaendelea....
hebu wacha bana, hizi zina inspire tinejaz ili wakitumwa nyanya gengeni wasikatae.
Wewe na mvi zako ndani ya trauza utapasuka kichwa, too fikshaz.
Kwa mwanangu, l can do that.
Kadanganye wengine sio mimi babu.
Hujambo lakini mpenzi?
Uje umsalimie Dota.Hujambo lakini!?
We babu hujui uchungu wa wajukuu, sie wamama tunajua uchungu wa wana...Kadanganye wengine sio mimi babu.
Hujambo lakini mpenzi?
Mkuu hii ni stor tu tena ya kufikirika mwananke anayeweza kufanya hvyo kwa kizaz cha sasa hakuna. Kama wanawake wenyew ndio wanafungia watoto kwenye mabox, wanawatupa kwenye mifuko sasa leo akubali kutoa moyo wake weeeeeee
thubutuuuuuuuu