Hayo ndio mazingaombwe yake.huku unaongeza idadi ya vyuo, huku unapunguza mikopo ya elimu. Hivi unajua mwaka huu kuna maelfu ya wanafunzi hawataweza kujiungana vyuo vikuu kwa kushindwa kujilipia ada?
NB: angalia vigezo vya kupata mkopo 2012/13
big up presidaa, umejitahidi.
Binafsi naamini jk anaweza kufanya mengi zaidi, hajaamua tu kufanya.
Naamini hakuna linalo mshinda ila ni uamuzi wake tu unahitajika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.
Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!

Nasikia majengo ya UDOM yashaanza kuporomoka. Na hela za NSSF zitarudishwa lini?
Teh teh teh! Mnisaidie jamani, hivi hii ilikuwa ni moja kati ya zile ahadi zake 69 za wakati wa kampeni 2010? Naomba wajuzi andaeni thread ya kufuatilia utekelezaji wa zile ahadi zake!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.
Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!
hicho chuo sio Muonduli ambacho sasa kina itwa TMA? kwamba kime boreshwa zaidi? na nini impact yake katika kukuza uchumi? au tutapunguza gharama za kuwa peleka sandhurst? au usa au china au urusi? na tuna mpango wa vita karibuni ? hivyo ni kipa upembele chetu?
Zomba hana uwezo au uelewa wa kuweza kujibu haya maswali. Yeye anaposikia chuo kikuu cha kijeshi, mawazo yanamtuma kwamba ni Military University. Kumbe hajui kwamba tuna hata chuo kikuu cha polisi kurasini na chuo kikuu cha magereza ukonga. Hapa haina maana kwamba ni universities, bali katika mafunzo yao ya kijeshi vyuo hivyo ndiyo vinatoa mafunzo advanced. Haina maana ukitoka hapo unakuwa na digrii au diploma ya kijeshi, ya polisi au ya magereza.
Siyo Monduli, Monduli ni chuo cha kijeshi lakini si chuo kikuu. Hiki ni Chuo Kikuu (University) cha Kijeshi na kipo Dar.
Dah! Kazindua JK? Makamu Mzee wa kukata tepe alikua wapi?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.
Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!
Wewe hujafurahiii?!!!! Akili yako iko sawa wewe.
big up presidaa, umejitahidi.
Binafsi naamini jk anaweza kufanya mengi zaidi, hajaamua tu kufanya.
Naamini hakuna linalo mshinda ila ni uamuzi wake tu unahitajika.
Elimu ni ufunguo wa maisha-hongera