james marco
JF-Expert Member
- Aug 2, 2017
- 208
- 167
Nimepitia nyuzi nyingi hapa kuhusiana na online shoping niliamua nijaribu ku shop kupitia jumia aseee mzigo umenifikia ndio nikatoa cash asee pongezi kwa kwenu jumia
halafu wana gharama sana hawa jamaaJumia ni washamba sana,eti hawawezi kutuma mizigo mikoani wakati tunanunua vitu China kupitia Aliexpress tunatumiwa hadi huku mikoani!!