Martin Luther king,JR kwenye hotuba ya 'I SEE THE PROMISED LAND' april 3,1968 memphis,Tennessee alimaanisha huo uozo wako,kumbe ukubwa wa kichwa sio wingi wa makamasi..vichwa vingine vina makamasi sio ubongo ama kweli kila ubongo uko kwenye kichwa ila si kila kichwa kina ubongo!
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:
Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .
Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".
Hii imetulia big up jembe.IPO SIKU TUTAFIKA NCHI YA AHADI.
big up halima hurreeeey chadema umeongea na tumekusikia kabisa tena kwa makini halima you are a hero hawa magamba waseme tuu lakini tutawafundisha tuu wakitugesi gesi kwenye ardhi yetu na hawa wawekezaji
basics zinapinda....Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:
Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .
Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".
Zomba Leo vipi naona bado unakomaa na thread yako iliyojaa udini huendi kwenye vijiwe vya gahawa?Una uhakika na unayosema? au Halima alikuwa akifikisha ujumbe mkubwa zaidi kwa Slaa?
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:
Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .
Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".
Hamia kwenye thread nyingineSisi huwa tupo Barzani sio kijiweni, kijiwe ni cha bangi na unga.
ARV hizo, sasa nyie na jamaa zenu wanaokurupuka na kuchukuwa mijanajike ya watu ndio muelewe hiyo.
Nilijua uzi umeletwa na mtu mwenye akili nikafungua haraka daaah!
tupo wengi kweli aisee
sijui kama mtapona aisee, cheni imerefuka mno na inakaribia kujifunga....
shebby
ARV hizo, sasa nyie na jamaa zenu wanaokurupuka na kuchukuwa mijanajike ya watu ndio muelewe hiyo.
ukitaka akuchukue wewe?