Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:
Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .
Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".
Wewe unasema hayo, tazama huyu mwenzio anasemaje:
Na huyu:
Huyu mwenzenu anakiri kuwa hayo ni
Nawashangaa, maneno yangu mimi ni haya tu "Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya".
Ni kipi kilichowakwaza? Nimebandika maneno ya Halima Mdee nikaweka na mafundisho "very deep" ya Mwakasege, sijatia langu zaidi ya heshima na kumpa ahsante Mheshimiwa Halima Mdee. Unajuwa mnashangaza sana mnapokurupuka na kupinga ambacho hata sijui mnapinga nini? nawauliza, mnapinga maneno ya Halima Mdee? au ya Mwakasege au Ahsante yangu?
Pamoja kuwa mimi ni mwislam lakini mwenzetu hapo umepotosha, ukifurahishwa na usemi kwenye kitabu cha dini waweza kuutumia. Ndo maana watu wengi hata si waislam inshallah nk. Hiyo akili chafu mnayoitumia CCM imepitwa na wakati, kila chama kinachokuja juu mnakizushia udini kama mlivyo izushia CUF na watanzania wapumbavu wakaamini kuwa ni cha dini. Waislam wenzangu, nawaomba msiwaamini wahuni kama kama hawa, hakuna chama chochote Tanzania kinawezashinda kwa kupitia udini. Pamoja kwamba Halima mdee ni mwislam mwenzetu lakini bado huyu jamaa anajitahidi kuunga hoja isiyo na maana. Watanzania tusonge mbele pamoja, udini tuushinde tubadirishe nchi yetu. Allahu akbar
Mheshimiwa Zomba, elimu yako ya sekondari umesoma Tanzania?
Kama jibu ni ndio, basi katika somo la kiswahili kwa elimu ya sekondari kuna kitu kinaitwa "Tamathali za Semi" mfano Dhihaka, tafsida ,kejeli/shitizai, Sitiari, Tashibiha, Tashihisi, Mubaalagha, Tabaini, Takriri.
Tafadhali rejelea hayo mafundisho, hakika utamuelewa Bi. Mdee
Nimemuelewa sana muktadha (naona katika nahau zako zote hilo umelisahau) wake Mheshimiwa Halima Mdee, hususan alipoelekeza ubeti huo wenye kina wa "tutaifikia Nchi ya Ahadi" kwa Dokta wa Kanoni Slaa. Na ndiyo maana nikamwambia "Ahsante Halima Mdee".
Nikamsoma Mwakasege katika mafundisho yake kuhusu maana ya kuifikia Nchi ya Ahadi, sina shaka na mafundisho hayo na sina shaka Halima Mdee anajuwa anachokiandika na hakukurupuka na bila ya shaka nikampa ahsante kwa hilo. "Mcheza kwao hutunzwa".
Jee, kuna mghafala hapo au ni ukhafaf wako tu?
Pamoja kuwa mimi ni mwislam lakini mwenzetu hapo umepotosha, ukifurahishwa na usemi kwenye kitabu cha dini waweza kuutumia. Ndo maana watu wengi hata si waislam inshallah nk. Hiyo akili chafu mnayoitumia CCM imepitwa na wakati, kila chama kinachokuja juu mnakizushia udini kama mlivyo izushia CUF na watanzania wapumbavu wakaamini kuwa ni cha dini. Waislam wenzangu, nawaomba msiwaamini wahuni kama kama hawa, hakuna chama chochote Tanzania kinawezashinda kwa kupitia udini. Pamoja kwamba Halima mdee ni mwislam mwenzetu lakini bado huyu jamaa anajitahidi kuunga hoja isiyo na maana. Watanzania tusonge mbele pamoja, udini tuushinde tubadirishe nchi yetu. Allahu akbar
Hahahaa...Mkuu Zomba ni vyema tu kumuelewa mheshimiwa Bi. Mdee kuwa alikua anamithilisha "kuifikia Nchi ya Ahadi" kwenye maziwa na asali kwa Wayahudi kama nuio lao kuondokana na dhiki na kadhia za jangwani.
Alichokosea labda uniambie wale walisafiri toka eneo moja la kijiografia kwenda eneo jingine. Lakini sisi Tanzania kama Nchi na Taifa(Watanzania), hatuna mahali pa kwenda kwani hapa ndio kwetu. Kama kuna ahadi yoyte iliyotolewa juu yetu kuifikia nchi fulani, basi nchi hiyo ndio hii. Ila ambacho tunapaswa kukifikia ni muda ambao tutakula na kusaza hizo asali na maziwa (maliasili za nchi yetu).
Heshima kwako mkuu...
Wanachopinga ni mantiki ya wewe unayejiita GT kuweka upuuzi kama huu hapa...wenye akili timamau wanajua Halima alimaanisha nini na yeye mwenyewe anajua alichomaanisha....Hata Civics ya form II inafundisha lengo la chama cha siasa ni nini... Na Literature ya form III inafundisha pia matumizi ya lugha ya picha kwahiyo ukilaza na umbmbumbu wako tafuta jukwaa la vilaza ukasemee huko...Sipati picha huyo halima angekuwa mkristo ingekuwaje.......THINK LOUD.....Wewe unasema hayo, tazama huyu mwenzio anasemaje: Na huyu: Huyu mwenzenu anakiri kuwa hayo ni Nawashangaa, maneno yangu mimi ni haya tu "Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya". Ni kipi kilichowakwaza? Nimebandika maneno ya Halima Mdee nikaweka na mafundisho "very deep" ya Mwakasege, sijatia langu zaidi ya heshima na kumpa ahsante Mheshimiwa Halima Mdee. Unajuwa mnashangaza sana mnapokurupuka na kupinga ambacho hata sijui mnapinga nini? nawauliza, mnapinga maneno ya Halima Mdee? au ya Mwakasege au Ahsante yangu?
Wanachopinga ni mantiki ya wewe unayejiita GT kuweka upuuzi kama huu hapa...wenye akili timamau wanajua Halima alimaanisha nini na yeye mwenyewe anajua alichomaanisha....Hata Civics ya form II inafundisha lengo la chama cha siasa ni nini... Na Literature ya form III inafundisha pia matumizi ya lugha ya picha kwahiyo ukilaza na umbmbumbu wako tafuta jukwaa la vilaza ukasemee huko...Sipati picha huyo halima angekuwa mkristo ingekuwaje.......THINK LOUD.....
Context ni hii hapa, ni wapi ilipokaa "kisharishari" tafadhali nifahamishe:
Wakiwa timu ya Taifa? kwi kwi kwi teh teh teh!
Taifa la "Nchi ya Ahadi". Wewe haumo?
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:
Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naaminiipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .
Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".