GE2025 Ahmed Shabiby aaminiwa tena na CCM kupeperusha bendera jimbo la Gairo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
403
Reaction score
676
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030.

Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Gabriel Makala alisema CCM imemteua Shabiby kushindana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.

Katika kura za maoni mwaka huu, mheshimiwa Shabiby alishinda kwa kupata kura nyingi.
Itakumbukwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mheshimiwa Shabiby alikosa mpinzani kwenye jimbo hilo na hivyo alipita bila kupingwa.
pic-mbunge.jpg
 
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030.

Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Gabriel Makala alisema CCM imemteua Shabiby kushindana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.

Katika kura za maoni mwaka huu, mheshimiwa Shabiby alishinda kwa kupata kura nyingi.
Itakumbukwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mheshimiwa Shabiby alikosa mpinzani kwenye jimbo hilo na hivyo alipita bila kupingwa.View attachment 3450644
Chenji aloweka weka kwenye harambee unadhani ndogo au kwa sababu haikusemwa?
 
Huyu Hana UNAFIKI.Yeye Hana tabia ya kusifia pasiposifika kama walivyo mbulula wengine wa ccm.NI HAKI YAKE KABISA KUENDELEA KUWA MBUNGE
 
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030.

Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Gabriel Makala alisema CCM imemteua Shabiby kushindana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.

Katika kura za maoni mwaka huu, mheshimiwa Shabiby alishinda kwa kupata kura nyingi.
Itakumbukwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mheshimiwa Shabiby alikosa mpinzani kwenye jimbo hilo na hivyo alipita bila kupingwa.View attachment 3450644
Uswahili umezidi kwenye magari yake ,saa nane usiku unakuta gari ya mkoani wamefumgulia mziki /video za kipuuzi ,yaani hakuna kula usiku kucha .SHAME
 
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030.

Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Gabriel Makala alisema CCM imemteua Shabiby kushindana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.

Katika kura za maoni mwaka huu, mheshimiwa Shabiby alishinda kwa kupata kura nyingi.
Itakumbukwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mheshimiwa Shabiby alikosa mpinzani kwenye jimbo hilo na hivyo alipita bila kupingwa.View attachment 3450644
Hawa ponjolo wenda ndo hutuariba nchi.
 
Back
Top Bottom