Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,343
Una maanisha kua ulijua tu unaenda kukutana na Vichekesho ?Nilipoona tu avatar yako nikajua kabisa nachokwenda kukutana nacho
Sasa Ahmed ally ana husikaje na simba kuwa cha wote maharage ya mbea? Swala mijitu mipigaji.... Waache siasa kwenye michezo... Waache kocha afanye usajili sio kumuingilia..... Kila mtu kiongozi akae kwenye nafasi yake....Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.
Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao.
Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu kama wa simba alipewa wito wa kuhojiwa na kamati ya nidhamu na kabla haijafika siku ya mahojiano, yeye pamoja na wasaidizi wake waliagizwa kwenda kumuuguza mke wake.
Inadaiwa kuwa kamati ya nidhamu haipendezwi na kauli za msemaji wao kuhusu suala la uzembe wa wachezaji wao na muda wowote kuanzia sasa yatafanyika makubaliano ya pande 2 ili Ahmed Ally akauguze huko kwao.
Kwani huko alienda na virago huko Simba? Si aliviacha kwao au?Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.
Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao.
Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu kama wa simba alipewa wito wa kuhojiwa na kamati ya nidhamu na kabla haijafika siku ya mahojiano, yeye pamoja na wasaidizi wake waliagizwa kwenda kumuuguza mke wake.
Inadaiwa kuwa kamati ya nidhamu haipendezwi na kauli za msemaji wao kuhusu suala la uzembe wa wachezaji wao na muda wowote kuanzia sasa yatafanyika makubaliano ya pande 2 ili Ahmed Ally akauguze huko kwao.
Mkuu nikitaka kukodi Semi kwaajili ya misele yangu ya mjini inawezekana?Nilipoona tu avatar yako nikajua kabisa nachokwenda kukutana nacho
Sure lo time will tell
Mtu wa Yanga anaisemea Simba! Ahahahahaha!!!Nilipoona tu avatar yako nikajua kabisa nachokwenda kukutana nacho
Ahmed ni Yanga au ulimaanisha nini?Mtu wa Yanga anaisemea Simba! Ahahahahaha!!!
Je, unajua GSM hana kadi ya Yanga!?Ahmed ni Yanga au ulimaanisha nini?
View attachment 2985733
Awe nayo yanini sasa? BossJe, unajua GSM hana kadi ya Yanga!?
Vichekesho kama ilivyo Id yako.Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.