Ahmadinejad's Camerman is reportedly seeking asylum in the United States

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
A Iranian cameraman who came to New York as part of Mahmoud Ahmadinejad's visit to the United Nations last week is reportedly seeking asylum in the United States. According to the Associated Press, Hassan Gol Khanban came to the States as part of the 140-person Iranian entourage attending last week's General Assembly meeting, but he managed to stay behind and find a New York lawyer to represent him. The lawyer made the announcement about the asylum request on Sunday night, but didn't provide any other details about his client's decision or how he slipped out of the group.

Ahmadinejad's Camerman Defected During His U.N. Visit - Yahoo! News
 
Halafu bado kuna watu watakwambia Iran ni sehemu nzuri kuishi...sehemu ambayo mpiga picha wa rais anatorokea ughaibuni kuomba hifadhi....huyu anafursa zote ambazo raia wa mtaani pale Tehran hana, lakini yeye katoroka. Serikali dhalimu ya Iran ikipinduliwa Wairan kibao watachekelea...sasa huyu atatoa a,b,c zote za ikulu ya Iran kabla hawajapewa kichapo hapo baadae!
 
Huyo naye choka-mbaya tu au wamepanga ajifanye mkimbizi ili apate habari zaidi toka marekani zitakazo kuja kuisaidia Iran baadaye.
 
Huyo naye choka-mbaya tu au wamepanga ajifanye mkimbizi ili apate habari zaidi toka marekani zitakazo kuja kuisaidia Iran baadaye.

Kinyume chake ndio ukweli huyu anaenda toa habari za Iran kwa wamarekani..Iran analo
 
Haha a ha ha ha, analilia nchi ya Makafir, makubwa haya.
 
Halafu bado kuna watu watakwambia Iran ni sehemu nzuri kuishi...sehemu ambayo mpiga picha wa rais anatorokea ughaibuni kuomba hifadhi....huyu anafursa zote ambazo raia wa mtaani pale Tehran hana, lakini yeye katoroka. Serikali dhalimu ya Iran ikipinduliwa Wairan kibao watachekelea...sasa huyu atatoa a,b,c zote za ikulu ya Iran kabla hawajapewa kichapo hapo baadae!
Unauhakika gani kama hakutekwa na Wabaya wa Iran ?
 
Huyo naye choka-mbaya tu au wamepanga ajifanye mkimbizi ili apate habari zaidi toka marekani zitakazo kuja kuisaidia Iran baadaye.

me naona kama jamaa huenda akacheza 50/50.
Ila kamwe iran haitakuja kuangushwa kizembe zembe.
Israel na usa wanalijua hilo.
 
me naona kama jamaa huenda akacheza 50/50.
Ila kamwe iran haitakuja kuangushwa kizembe zembe.
Israel na usa wanalijua hilo.

Wairan ni wajinga, Chitemo tayari umeshaonyesha kuwa iran itaangushwa, sasa itaangushwa chali, kiubavu itajua yenyewe mwanguko upi ni afadhali kwake.
Wangejifunza kwa wimbo wa bob marley "running away"
 
Last edited by a moderator:
Haha a ha ha ha, analilia nchi ya Makafir, makubwa haya.
Hivi kuna mtu hataki kwenda marekani? katika maisha yangu sijawahi sikia hiyo habari... kutoka kwa Osama wala mkuu yeyote... Huyo Ahmednajed ndio akisikia kuna safari ya kwenda usa hurukwa na furaha.... Marekani isikie tu kule kuna kila aina uijuayo ya Haki sio Matesoni Iran..... Muulize Mkwer3 anapenda kuishi wapi baada ya kazi nzito ya kubeba magogoni zaidi atakuambia Marekani tu... kamwe hawezi sema Saudi Arabia...

Is there anything good in I-ran? I don't think so. Just look at this Iran rial plunges 7 pct to new record low - Stabroek News - Guyana

One (1) USD is 32,250 Iranian Rial
Mkuu kwahiyo Iran wanashindana na Zimbabwe? so hiyo rial moja unanunua mkate Mdogo kwa bongo... kama tsh 1600/= so ukitaka mikate miwili midogo ni rial 2 = 64,500 unabeba kapu la pesa kununua mikate kumi... Nimegundua kwanini serikali Walitaka kuleta madaktari 1000 kutoka Iran kwenye ule mgomo wa madaktari wa tanzania kumbe yaelekea madaktari wa iran wapo very cheap...
 
[SIZE=+1]Ten Million Iranians Under "Absolute Poverty Line"[/SIZE]
Source: Radio Zamaneh
Iran's Department of Statistics announced that 10 million Iranians live under the "Absolute Poverty Line" and 30 million live under the "Relative Poverty Line."
people-living-in-margins-Bandar-Abbas2-i.jpg
people-living-in-margins-Bandar-Abbas3-i.jpg
people-living-in-margins-Bandar-Abbas17-i.jpg

Photos: People Living In The Margins In Bandar Abbas, Iran
Adel Azar, head of the Department of Statistics, told ISNA that the budgetary system of Iran has no correspondence with the prevalent scientific systems of budgeting. He added that if the rules of budgeting were observed in this very structure, the government could save at least 30 to 35 percent on its expenses.
Ahmadinejad-in-Khoramnshahr6.jpg

Ahamdienjad speech disrupted by unemployment chants

People of Khorramshahr, a south western city of Iran, disrupted Mahmoud Ahmadinejad's speech with chants of "Unemployment! Unemployment!"
He also indicated that the government's annual budgets for construction projects ignore issues of productivity and efficiency which could save the government 45 percent in expenses.

In conjunction to this report, Issa Kamali, secretary General of House of Workers told ILNA that in the past year 52 thousand workers have lost their jobs in the oil industry in Oslouyeh, in the south of Iran.

He added that of the 60 thousand people employed in this industry in the area, only eight thousand still have a job.

Issa Kamali said: "The oil and gas companies of the Oslouyeh area were so productive that in addition to employing local workforce, they even employed workers from other areas; but currently the area has turned into a useless tumour." Kamali blamed "wrong government policies" for throwing the region into such a "crisis."

Related Articles:Iran Unemployment Rate Reaches 11.9%
Iran's Statistical Center of Iran (SCI) announced that unemployment rate in the Iranian calendar year of 1388 (ended March 20, 2010) was 1.5 percent more than the year before that and hit 11.9 percent.Poverty and Inequality since the Revolution
By Djavad Salehi-Isfahani

Iran-Poverty-Inequality-since-Revolution-Figure1.jpg
Thirty years ago, Ayatollah Khomeini proclaimed equity and social justice as the Revolution's main objective. His successor, Ayatollah Khamene'i, continues to refer to social justice as the revolution's defining theme. Similarly, Presidents Khatami and Ahmadinejad, though they are from very different political persuasions, placed heavy emphasis on social justice in their political rhetoric. Yet the very fact that 30 years after the revolution social justice continues to occupy the highest place in Iran's political discourse implies that this goal of the revolution remains as elusive as ever.
Ten Million Iranians Under "Absolute Poverty Line"
 
Iran POVERTY IMAGES:

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan1.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan10.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan12.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan13.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan14.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan15.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan16.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan17.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan18.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan19.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan2.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan4.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan5.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan6.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan7.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan8.jpg

Tent-Living-Kahoum-Village-Zahedan9.jpg

... Payvand News - 01/18/10 ...
 
Huyo sidhani kama atapona kama ataexpose news lazima watamtenda

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
It is hard to comprehend, but it is true. Even his personal photographer hates his country.
 
Hivi kuna mtu hataki kwenda marekani? katika maisha yangu sijawahi sikia hiyo habari... kutoka kwa Osama wala mkuu yeyote... Huyo Ahmednajed ndio akisikia kuna safari ya kwenda usa hurukwa na furaha.... Marekani isikie tu kule kuna kila aina uijuayo ya Haki sio Matesoni Iran..... Muulize Mkwer3 anapenda kuishi wapi baada ya kazi nzito ya kubeba magogoni zaidi atakuambia Marekani tu... kamwe hawezi sema Saudi Arabia...

Mkuu kwahiyo Iran wanashindana na Zimbabwe? so hiyo rial moja unanunua mkate Mdogo kwa bongo... kama tsh 1600/= so ukitaka mikate miwili midogo ni rial 2 = 64,500 unabeba kapu la pesa kununua mikate kumi... Nimegundua kwanini serikali Walitaka kuleta madaktari 1000 kutoka Iran kwenye ule mgomo wa madaktari wa tanzania kumbe yaelekea madaktari wa iran wapo very cheap...

Kwa hiyo, kumbe kila mtu anakutaka USA. Sasa kwanini wanaipiga vita hiyo USA? Ni maajabu sana kusikia mpiga picha wa Rais wa Iran kagomea nchi ya makafir. Nilitegemea since Iran is the Islamic State, labda angekimbila Saudi or so. Just thinking loud.
 
Mkuu kwahiyo Iran wanashindana na Zimbabwe? so hiyo rial moja unanunua mkate Mdogo kwa bongo... kama tsh 1600/= so ukitaka mikate miwili midogo ni rial 2 = 64,500 unabeba kapu la pesa kununua mikate kumi... Nimegundua kwanini serikali Walitaka kuleta madaktari 1000 kutoka Iran kwenye ule mgomo wa madaktari wa tanzania kumbe yaelekea madaktari wa iran wapo very cheap...

It is sad and shame for Iran's money to be so cheap and low. Hilo ndilo tatizo la nchi inapo pigia debe magaidi. Instead of building the country, wao wanavunja nchi. Sasa wakienda nchi za watu "USA" ndo wanaingia mitini. Aibu tupu to the Islamic Republic of Iran.
 
Back
Top Bottom