Ahmadinejad: Iran is now a nuclear state

Iran wana-take adavantage kwa kuwa wanajua Americans cannot afford kuingia katika vita kwa sasa.

Also,it will press a war with Israel.

Un imeshindwa kufanya kazi vizuri,lakini pia wanahitaji nguvu ya kuungwa mkono na Mid-east,pamoja na China ili waweze kuizuia iran.But also,US watapata kazi sana kupata support ya CHINA kwenye kupiga kura za kuiwekea vikwazo Iran especially time kama hii ambayo relationship kati ya US na China iko strained after the former kuiuzia Taiwan Silaha.

Suluhisho pekee la kuondoa nuclear duniani ni ku-implement Un resolutions on armament and diasarmament kwa mataifa yote duniania though it's imposible.

Hilo aliwezekani nadhani jibu nikilamtu kuwanayo, Mimi nafanananisha na tatizo la silaha lilivyo marekani, wanashindwa kuzuia mwishowe basi kila mtu ruhusa kuwanayo! Unaonaje hiyo, Bongo tungekuwa nayo na Id amini angekuwa nayo pia na wengine.
 
Hahahahaha! marekani ameshindwa kwa watalebani mpaka leo ataweza kwa Irani? Aliweza kumtoa Saadam baada ya kupata usaidizi wa nchi nyingine. Rudi katika historia utaona mmarekani amekuwa akishinda vita kwa taabu sana, hata nchi ndogo kama Vietnam ilimtoa jasho.

UNAJUA MSEMO WA WATALEBANI?
"They have watch, we have time" Kwa maana kwamba wao wamerakani wana saa sisi tuna muda, kIFUPI AWAJAMAA wanapigana kisayansi wananikumbusha ule msemo wa bob kuwa "Anayepigana na Kukimbia huishi kupigana tena na tena" na ndio style taleban.
 
Hahahahaha! marekani ameshindwa kwa watalebani mpaka leo ataweza kwa Irani? Aliweza kumtoa Saadam baada ya kupata usaidizi wa nchi nyingine. Rudi katika historia utaona mmarekani amekuwa akishinda vita kwa taabu sana, hata nchi ndogo kama Vietnam ilimtoa jasho.
unahaki ya kucheka, kwani Watelebani ni jeshi la taifa ama genge la magaidi, WAARABU WOTE KWA UJUMLA WAO wanaweza kupigwa na USA, ila amani USA haiwezi kuleta kwa mtutu wa bunduki asilani......
Israel tu, anatetemesha Arabuni kote, aaah usifananishe Maji na MAFUTA ya kula....Marekani ni ulimwengu mwingine katika uwanja wa vita....narudia lakini si katika kuleta AMANI....funguka macho.
Wakati IRAN wanashangilia leo kumiliki Nuclear mwaka 1945 USA alikua nayo tayari...
 
Kivipi ni punguani? Kaivamia nchi gani kwa pretext za uongo kama Marekani na mahabithi wenzake?? Ahmedinejad au Iran wana-occupy ardhi ya nchi gani kama Wazayuni dhidi ya ardhi ya Wapalestina?? Ahmedinejad au Iran imewahi kutumia lini silaha za maangamizi dhidi ya nchi nyengine??? Kama Saddam wakati bado akiwa puppet wa MAREKANI ndiye aliyetumia kwa baraka za Marekani na washirika wake dhidi ya Iran??? Kama Marekani walivyotumia silaha za maangamizi dhidi ya Hiroshima na Nagasaki???

Wacha upumbavu wa kasumba za kimagharibi, face facts!!!

Wacha upumbavu wa kuwaabudi wakamua mavi maiti.waarabu ni watu hatari sana Dunia leo iko hali tete kwasababu ya Waarabu
 
Wacha upumbavu wa kuwaabudi wakamua mavi maiti.waarabu ni watu hatari sana Dunia leo iko hali tete kwasababu ya Waarabu

Kweli wewe kilaza, Afghanistan siyo Waarabu..get your record right

Iran siyo Waarabu pia..historia imekupiga jenga pole sana sunday school nuksi!

Waarabu ni hatari kwa mujibu wa nani? kwa vigezo gani? au unaimba kama kasuku wimbo wa mabwana zako pole.
 
unahaki ya kucheka, kwani Watelebani ni jeshi la taifa ama genge la magaidi, WAARABU WOTE KWA UJUMLA WAO wanaweza kupigwa na USA, ila amani USA haiwezi kuleta kwa mtutu wa bunduki asilani......
Israel tu, anatetemesha Arabuni kote, aaah usifananishe Maji na MAFUTA ya kula....Marekani ni ulimwengu mwingine katika uwanja wa vita....narudia lakini si katika kuleta AMANI....funguka macho.
Wakati IRAN wanashangilia leo kumiliki Nuclear mwaka 1945 USA alikua nayo tayari...

Kama wamerakani ni wazuri wa vita si waanzishe hiyo vita na Irani?

Kwanini kelele nakutembea kuomba omba msaada kwa dunia nzima?

Wamerakani ni waoga, malaya na mashetani..kama wao wanaume kweli waanzishe vita tuone America VS. Irani ..nitafurahia sana hiyo siku??

Wameanza kutembeza bakuli la kuomba wamempeleka malaya wao (clinton) waarabu wawasaidie kupigana badala yao ..damn
 
Tumaini agenda zako ni za kijihad.Umesema Marekani ni waoga ,malaya na mashetani.dini yako inawafundisha hivi.Kuhusu Iran,jujui kama kuna internal strife within,watu hawana haki,ma mullah ndio wameshika usukani.Kuna watu wananyongwa kila siku.

Huyu rais wako wa Iran kipenzi ni circus,anajua washia wenzake wanauliwa ovyo huko nchi za kiarabu,lakini hawezi kulalamika hata siku moja,badala yake ni rhetoric kwa Israel.

kama ujuavyo waarab wengi ni sunni,kama Iran itakuwa nuclear,basi Wasaud,Waegypt na nchi zote za kiaarabu(sunni) zitataka kuwa na nuclear bomb.Kusema Clinton(malaya) sijui una maana gani,chuki uliyonayo unaweza kulipua .Na hisi uko majuu,wazungu wamekupa kila kitu,unatakiwa uwe deported somalia au afghanistan au Palestine kama utakubalika na watu hao.

Israel itafanya kazi yake,haitaweza kukubali milele kuwa na tishio toka kwa stupid Mullah ambao hawanyoi ndevu zao chafu.
 
Tumaini,wakume kubrainiwash misikitini.Usije ukatulipua siku moja kwa kutumia suicide mission
 
Ha ha ha unafurahisha kweli mimi sipewi kitu na wazungu mimi naishi katika Ardhi ya Muumba wa mbigu na dunia..naweza kuishi popote na nafanya kazi zangu kama wewe unawaogopa wazungu kwakuwa wanakupa maisha yako pole mimi namtegemea Muumba period!

Mimi niko huru na kazi yangu ni kusema ukweli tu kama wamerakani siyo mashetani wanafanya nini kwenye nchi za watu ambao hawajawavamia? Iraq na Afhanistan?

Kama wamerakani siyo malaya (tena anayehonga) ni dume kweli si waanze kupigana na Irani ya nini kutembea duniani kote kuomba msaada kwa watu wengine wapigane kwa ajili yao? dalili za uwoga na umalaya

Chuki nilizonazo ni kwa watu wote wanaoau watu wengine wasio na hatia duniani popote walipo...hiyo ni principal..wewe kama mshabiki wa mashetani utajiju mwenyewe
 
Tumaini,wakume kubrainiwash misikitini.Usije ukatulipua siku moja kwa kutumia suicide mission

Huna hoja umebaki kulalamika..ndio aina wasomi wetu kazi kwelikweli..sunday school nuksi (ulipewa mtihani nini) soma uelewe dunia
 
Punguani ni yule ambaye amashawahi kuzitumia silaha za kuangamiza hebu jikumbushe historia ya Hiroshima na Nagasaki ya tarehe 6 August 1945, je unajua ni marekani aliyefanya unyama huo? ukipata wasaa soma katika link hii http://history1900s.about.com/od/worldwarii/a/hiroshima.htm

je nchi gani ambayo imekuwa ikiuwa raia wengi wasio na hatia kati ya Marekani, Israeli na Iran? Je msimamo mkali wa Ahmadinejad kuhusu marekani na washirika wake ndiyo umwite punguani?
kuwa makini acha kushabikia kifo
 
Kama wamerakani ni wazuri wa vita si waanzishe hiyo vita na Irani?

Kwanini kelele nakutembea kuomba omba msaada kwa dunia nzima?

Wamerakani ni waoga, malaya na mashetani..kama wao wanaume kweli waanzishe vita tuone America VS. Irani ..nitafurahia sana hiyo siku??

Wameanza kutembeza bakuli la kuomba wamempeleka malaya wao (clinton) waarabu wawasaidie kupigana badala yao ..damn
una uhakika wewe utapona?
 
una uhakika wewe utapona?

Then waache kelele kama hawawezi vita ni waoga, waacha umalaya wa kuomba mataifa mengne kwenda vitani kwa ajili yao..wakae kwao dunia itakuwa na amani period!

Wakitaka vita walianzishe tunawasubiri kwa hamu..after all tutakufa hata kama hatukwenda kupigana does it make any difference?
 
Tumaini alianza kwa wapalestine,sasa yuko kwa iran,kesho atakuwa kwa wa PAKI,
lakini Tumaini bado anajiita Mtanzania.Ulaya itapata shida sana miaka ijayo kwa kuwaruhusu
Waislamu design ya Tumaini,maana baada ya 77 bombing na attack ya Glagow airport na hawa watoto wa Allah duniani itawekwa ransom na hawa terrorist.

America imesheelewa ,lakini Ulaya viongozi bado wako political correct.Wananchi wameelewa ,hata uwape nini ,watataka sharia law,baade kuwaforce wanawake wavae kitaliban,hapo civilisation itakwisha.tanzania hatutakuwa immune
 
Ni ripoti basi kwa mabwana zako
 
Ni kweli lakini ni hatari zaidi anapokuwa nazo punguani kama Ahmadinejad.

Na je siku Marekani ikija kuongozwa na punguani ita kuaje? If they can elect a lame duck like George Bush then they are capable of also one day electing a punguani. My main point is that it's hypocracy to stop someone from having something you yourself own. Kama wana taka iwe fair basi wa advocate kila mtu(pamoja na wao marekani) kuto kuwa na nuclear weapons.

Huwezi kuguarantee kichwa cha mtu ambae ata kuja kuwa madarakani be it Iraq or America. Wakati wa cold war Marekani na Urusi nusu walipuane kisa nini unajua? Kitu fulani kilipita angani mmoja wao akadhani ni makombora ya mwenzie. Yani ni Mungu tu kwamba nothing happened. Hiyo ni sign kwamba as long as these weapons are around it is a risk.
 
Kama wamerakani ni wazuri wa vita si waanzishe hiyo vita na Irani?

Kwanini kelele nakutembea kuomba omba msaada kwa dunia nzima?

Wamerakani ni waoga, malaya na mashetani..kama wao wanaume kweli waanzishe vita tuone America VS. Irani ..nitafurahia sana hiyo siku??

Wameanza kutembeza bakuli la kuomba wamempeleka malaya wao (clinton) waarabu wawasaidie kupigana badala yao ..damn
walisema hayo hayo kabla ya vita ya Pili ya Iraq kuwa itakwaa kisiki, maana Sadam na JESHI lake la Taifa wako makini sana, na wanauzoefu wakutosha.
Ambacho bado hamuamini kushinda vita hii ya kisasa haitaji kelele na majisifu kama Iran, Taifa la Uyahudi pale linawatesa miaka nenda rudi.
kupigwa Iran ni swala la kimkakati, lakini sitaki kuamini kama wao wanajeshi Imara hata kupigana na A frika Kusini, ama Misri.
Na kwenye kujibu hoja hupaswi kuleta matusi, ni upi Umalaya wa Bibi Clinton, sikushangai , ila ni tatizo la kimfumo na kimalezi....unajua chanzo chake...
 
I like this short guy, his confidence... nimefurahi kuwa amewataarifu tu hao wamarekani kuwa it is just the first 'butch' Hope there are some butches coming!!!!
wamarekani wanadhani wao tu ndio wana uwezo na wanahaki ya kumiliki, kama hazina maana kwanini wao wawe na vinu vya nuklia na wanavitunza kwa gharama za mamilioni ya dollar??? jamani kunya anye kuku,akinya bata oooh kahara........
 
Back
Top Bottom