Nilikuwa nikitoka kazini hivi leo jioni.Nilipo fika maeneo fulani
nikapata nafasi ya kusikia vijana wakibishana masuala mbalimbali ya kisiasa, Sikuwa nikisikiliza mazungumzo yao kwa makini,
Ila nikabahatika kusikia kijana mmoja akitamka neno kuwa "Demokrasia ni mzizi wa ukafir".
Binafsi sikuweza kuelewa maana ya hiko alichokuwa akimaanisha.!
Nimeona niliweke hili jambo humu jamvini ili mwenye kujua zaidi aweze kunifahamisha.!
Ila nashngaa ujamaa wanaukubali ambao ndio ukafiri wa wazi..Ujamaa viongozi wote na serikali zao huabudiwa na kuangalia maisha ya kila raia...na hii ktk ktk nchi hata zenye waumini wengi Ukristu,Uislam,Ubudha,Uhindu, zizizo na waumini wenye imani ya dini kabisa...wote huabudu Dola,na kiongozi wao mkuu ndie hutoa fadhila kwa wote na wa kuabudiwa kabisa.Huko watu wapangwa njia kumsujudu,kumpokea ,kumlaki,na hala kujiliza akiw amgonjwa akifa au chochote..
Hata ujamaa haukubariki kidini bali mwongozo kwa waislam ni qur'an na sunnah na hata huko uarabuni bado mataifa mengi yanaidadi kubwa tu ya waislam but sio matifa ya kiislam kisheria